NATO wasema wanafukuzana na wakati kuiwahi Urusi

Hiv mnaosema nato wanaiogopa urusi mnajielewa kweli, yaani huyo urusi kwa wkt mmoja anaweza kupigana na mataifa yote ya nato yatakapo amua kuingia vitani serious?

Acheni hadithi za abunuasi bhna hapa
 
Hiv mnaosema nato wanaiogopa urusi mnajielewa kweli, yaani huyo urusi kwa wkt mmoja anaweza kupigana na mataifa yote ya nato yatakapo amua kuingia vitani serious?

Acheni hadithi za abunuasi bhna hapa
NATO hawaigopi Urusi, ila NATO wanajiuliza kama Urusi ataamua kufunguka, je nchi za ulaya zitatapata madhara Kwa ukubwa gani. Hasa ukichukulia Urusi Huwa Ana deal na basic infrastructures kama Barbara na viwanda
 
kweli kuna wakati russia walifanya vibaya kwenye hii SMO mpaka kupelekea kufanyika mabadiliko kwa makamanda wanaoongoza hii SMO. Russia wakapata hasara kubwa, imeonekana kubwa sababu ni kitu ambacho hakikutarajiwa. Lakini kwenye vita hivi ni vitu vya kawaida. My friend, nataka nikuhakikishie kabisa, hii SMO loser ni Ukraine na NATO. Maeneo yote yaliyotwaliwa toka Ukraine pamoja na cremia yatabaki kuwa maeneo ya Russia. Siku ukianza msafara mwingine wa majeshi ya russia kuelekea Kiev ndio utakuwa mwisho wa Zelesky. Acha west waendelee kupeleka misaada ya pesa na silaha tuone kama zitasaidia kukomboa hata mkoa m1 uliotwaliwa na Russia.
Kingine. Hakuna counteroffensive itakayofanikiwa tena kama ile iliyowaondoa russia pale kharkiv.
 
Russia ingekua Lebanon, sasahivi NATO tayari imeshachukua maujiko ya kila aina
Na Russia anajua kuwa NATO hawawezi kuingilia Moja Kwa Moja kwenye hii vita.... Na Zelensky anajiuliza akiomba poo Yale majimbo yanarudi vip? na ikiwa ameshachelewa. Kiufupi hii vita haijulikanani itaisha lini. Ili biriani litanoga pale Ukraine atakapo kuwa na uwezo wa kuingia kwenye anga la Urusi
 
Well said, barikiwa sana - kama ulimuangalia vizuri leo body language ya Secretary General wa NATO slipo zungumza na wandishi wa habari body language yake ilionyesha wazi wazi kwamba Urusi imekwisha shinda kete njama za US/NATO kuitumia Ukraine kupigana a proxy war on US &UK behalf kwa lengo la kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi Urusi - hivyo kwa aibu US/NATO wanaona watawambia nini raia wao sababu zilizo sababishwa washindwe na jeshi la Urusi/Putin.

We fikiria nchi karibu 51 zinashindwa na Taifa moja tu - ili kuondoa aibu ndio maana wanakuja na maigizo kwamba silaha na ammmunitions zisipo harakishwa kupelekwa Ukraine basi Zelensky atakuwa na wakati mgumu ie jeshi lake litashindwa - maiigizo tu huku NATO ikijuwa wazi wazi kwamba uwezekano wa NATO/US/Ukraine kuishinda kijeshi Russia haupo kabisa.
 
Hiv mnaosema nato wanaiogopa urusi mnajielewa kweli, yaani huyo urusi kwa wkt mmoja anaweza kupigana na mataifa yote ya nato yatakapo amua kuingia vitani serious?

Acheni hadithi za abunuasi bhna hapa
Wanangoja nn

LIBYA na IRAQ hawakutoa msaada walipeleka majeshi kabisa

Elensky kawaomba tu wamsaidie kueka No fly zone walijaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo huo hana na wala NATO/US hawawezi kumsaidia kwani hali zao hivi sasa kijeshi (NATO) ni zofulhali kulinganisha na mrusi ambaye viwanda vyake vya silaha vipo full swing 24 hrs vikizalisha silaha.
Vip unaweza kutabiri hii vita itaisha Kwa mtindo gani
 
Vip unaweza kutabiri hii vita itaisha Kwa mtindo gani


Hii vita Russia atashinda, ataweka mtu wake Ukraine, America hatofanya chochote cha maana (kujiingiza moja kwa moja Ukraine) kwani anamuhofia Mchina kwamba mara atakapojiingiza Ukraine dhidi ya Russia Mchina naye atajiingiza Taiwan, Korea kaskazini naye atadili na korea kusini mbaya zaidi vita vitapiganwa mbali na ilipo Marekani na nje ya Bahari hii itaipa America kazi kubwa kama itajiingiza moja kwa moja, isitoshe America hajawahi kupigana vita vya aina hii tangu vita kuu ya dunia na ya vietnam na hivi karibuni vita dhidi ya Ugaidi hivyo hana uzoefu kupigana vita kubwa inayopiganwa na taifa kubwa lenye vifaa vya kisasa kama Russia.

UTABIRI NI; Russia atashinda hii vita lakini huo ndio utakuwa mwanzo wa maandalizi mapya ya vita ya tatu ya dunia kwani nchi za NATO na America hazitakubali tena kufedheheshwa na Russia hivyo wataanza kuunda silaha na kuzilimbikiza ili baadaye kumpiga Russia na (China).
 


"Subdue Ukraine in 72 hrs", yes Russia said so only taking into account Ukraine being fighting alone in Contrary this time Russia is fighting with all NATO states cum the US, (all the world economic powers) against one Russia!!!--, still Russia pounds them heavily till they confess publicly to run out of ammunitions in their respective inventories and no way to replenish while Russia millitary industries produce daily in 24 hrs ample weapons to sustain her persistence in the war.

Despite the situations of the war, Russia will eventually emerge a winner.
 
Hiv mnaosema nato wanaiogopa urusi mnajielewa kweli, yaani huyo urusi kwa wkt mmoja anaweza kupigana na mataifa yote ya nato yatakapo amua kuingia vitani serious?

Acheni hadithi za abunuasi bhna hapa


NATO hivi sasa hana silaha za kutosha, na hawana mpango wa kutengeneza silaha, kumbuka NATO ni umoja wa kijeshi wa nchi za ulaya, NATO kama umoja wa nchi hauna kiwanda kimoja kinachoitwa kiwanda cha NATO cha silaha kama ilivyo Russia ambayo viwanda vyake leo hii havilali, vinatengeneza silaha 24hrs kwa ajili ya hii vita achilia mbali zile wanazonunua kutoka China, korea kaskazini, Iran nk.

NATO wenyewe wameshagawanyika juu ya hii vita na huo ni udhaifu mkubwa wa NATO, NATO kabakia kubweka kama mbwa asiyekuwa na meno akaangalia mtiti anaotembeza Russia dhidi ya Ukraine licha ya masilaha yote waliyompatia.
 
Ukraine akirudisha majeshi ya urusi kwao kweli ntaona NATO wana nguvu si ya dunia hii, nchi imemegwa kwa zaidi ya asilimia 20, wamenyang'anywa strategic areas za kiuchumi kama ule ukanda wa bahari na ports, wameporwa kituo kikubwa cha nyukilia na kuzalisha umeme.

Kama haitoshi urusi wameharibu miundombinu ya umeme ukraine kwa asilimia 65, unakuja hapa unasema stingers zina msaada... zina msaada gani?

Sasa uliza kinachoendelea pale bakhmut, sio maneno yetu, sikiliza speech za Zelensky kuhusu kinachoendelea pale.

Sioni ni lini na vipi Ukraine itaendelea kua kama zaman, sion uwezekano wa Russia kurudisha hata nchi moja ya ardhi. Tusidanganyane Ukraine na NATO hawana uwezo wa kumpiga urusi kwenye vita ya kawaida, labda watumie nyukilia. Na wakithubutu kuingia kwenye nyukilia historia mpya itaandikwa duniani.
 
Hiv mnaosema nato wanaiogopa urusi mnajielewa kweli, yaani huyo urusi kwa wkt mmoja anaweza kupigana na mataifa yote ya nato yatakapo amua kuingia vitani serious?

Acheni hadithi za abunuasi bhna hapa
Kama Ukraine isiyokuwa na jeshi la maana, isiyojitosheleza kwa silaha mpaka isaidiwe ndo inamsumbua hivi Russia takriban mwaka sasa, hakika NATO inaweza ikamburuza Russia itakavyo. Jambo pekee linalohofiwa hapo ni silaha za Nuclear.
 
Dah! Hivi watu wanafahamu maana ya NATO au? Hivi Ukrein anaweza kusaidiwa na NATO? Au kuna siku NATO imetoa msaada kwa Ukraine? Jaribuni kutofautisha kati ya NATO na nchi moja moja zinazounda NATO ni vitu viwili tofauti na vyenye malengo tofauti. Jeshi la NATO linafanya kazi endapo taifa moja wapo litavamiwa sasa sijui Ukraine kajiunga lini na NATO mpaka waingie mzigoni
 
Sasa wanatuma silaha kumsaidia kama nani pia sialisha peleka maombi ya kujiunga huko wamkubalie fasta wapate sababu mashoga hao
 
Kama Ukraine isiyokuwa na jeshi la maana, isiyojitosheleza kwa silaha mpaka isaidiwe ndo inamsumbua hivi Russia takriban mwaka sasa, hakika NATO inaweza ikamburuza Russia itakavyo. Jambo pekee linalohofiwa hapo ni silaha za Nuclear.
kama TALEBAN ambao walikua hawasaidiwi lolote waliipelekesha NATO miaka 20

Kwahakika RUSSIA itaiburuza NATO itakavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…