othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Hiv mnaosema nato wanaiogopa urusi mnajielewa kweli, yaani huyo urusi kwa wkt mmoja anaweza kupigana na mataifa yote ya nato yatakapo amua kuingia vitani serious?Vita ilishaisha kitambo sana. Kilichobaki saa hizi ni zelensky kutaka kurudisha maeneo yaliyotwaliwa na mrusi huku NATO wakimwangalia tu bila msaada wa maana. Ukraine wanataka msaada wa ndege hasa F16(Falcon Fighters), NATO wanaogopa kumpa zelensky ndege hizi sababu wanajua fika Ukraine wataanza kuzitumia Kwa kushambulia maeneo ya ndani kabisa ya Urusi. NATO wanaogopa majibu ya Urusi baada ya kuona anaanza kushambuliwa barazani, na Kwa upande wa Putin atakuwa na vitu viwili, siraha za nuclear na kupoteza vita. Maexpert wa NATO wamefanya calculations na kung'amua kuwa raisi Putin atachagua kutumia siraha za nuclear na siyo kushindwa vita,. Vilevile wanahisi Urusi ataanza kuongeza eneo la vita hasa kwenye mataifa yaliyotoa hizo ndege.. Marekani na mabest wake siyo mafala
Acheni hadithi za abunuasi bhna hapa