NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

Unadhani Putin ni Ben sanane?
 
Putin sio babu tale
 
Kuanzisha viuzi vya kujifariji na kukimbia uzi mama ndo kitu pekee mlichobakiza sasa hivi, hizo kelele za NATO hazijaanza kusikika leo, zilianzia Norway, zikaja poland lakini pote output ni zero.

Kama kuna kikosi cha jeshi hapa duniani kinajiamini basi kikaingilie operation ya urusi pale Ukraine.
 
Yaani hawa jamaa wanamnyemelea kipofu huku wanachachawa, si Urusi dhaifu yanini kukaa vikao(NATO),kaa tulia peke yako,Mrusi akianzisha unampasua ila inaonekana wameona moto anaopelekewa shoga yao hataree wamekumbuka kuungana🤣🤣🤣
 
Haka ka ujumbe umekaandika kwa mhemko, hisia kali na uchungu sana. Lakini Urusi anaonekana kuzidi kuwachapa NATO

'''Asa itakuwaje!?... Si utakufa mkuu?!

Nimeshangaa sana huyu Urusi aliyetegemewa na waarabu na dini yao ndiye huyu anatia aibu.
 
Wapeni sababu, kwa mfano guseni kataifa kamoja wanachama wao, kama vile Latva hapo mpakani na Urusi.
Sababu gani watu tunapiga mpaka hospital, shule na mmetulia kimya, unafikiri mambo hayo angefanya Syria NATO wangekuwa wanabweka nje kama mbwa
 
Sababu gani watu tunapiga mpaka hospital, shule na mmetulia kimya, unafikiri mambo hayo angefanya Syria NATO wangekuwa wanabweka nje kama mbwa
Jaribuni kupiga au kugusa paka au mbwa au mfugo wa mwanachama wa NATO
 
Sisi tunapiga Ukraine shoga yenu, kama mnaona tuna fanya vitu vya kigaidi njooni acheni kelele

Huyo tulimtumia kupima uwezo wenu na tumeshapata tulichokusudia, tumejua kumbe mpo dhaifu wa kutupwa.
 
Ni Russia Mzee sio Libya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo tulimtumia kupima uwezo wenu na tumeshapata tulichokusudia, tumejua kumbe mpo dhaifu wa kutupwa.
Tupo dhaifu wakati kila siku vikao? mpaka raia wenu tunaua na kuteka halafu hamna la kufanya zaidi ya kulia lia mitandaoni
 
Kwani Katika Nchi zilishambuliwa na NATO mwanachama wake alipigwa Kwanza?embu nipe mfano Mmoja.

Libya alipimwa kwa mbali akaonekana madhaifu yake kisha kapigwa, japo ilibidi kuchochea Walibya alianzishe kwa ndani, na sasa Mrusi naye ameonekana hana lolote zaidi ya vinyuklia, hivyo atatafutiwa namna ya lianzishwe kwa ndani ili kuhakikisha hagusi buttons za nyuklia kisha apigwe, maana kuna mamilioni wa Urusi ambao hawana hatia, na akikosea akiguse nyuklia, itabidi afutike kwenye ramani ya dunia, na hapo italazimu kuua mamilioni ya Warusi ambao hawana lolote baya.
 
Tupo dhaifu wakati kila siku vikao? mpaka raia wenu tunaua na kuteka halafu hamna la kufanya zaidi ya kulia lia mitandaoni

Kainchi kadogo kamewashinda kufumua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…