NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majitu maoga sana hayo, utayajua tu, eti wanajiweka tayari, si wanamtetea Ukraine hao, na Ukraine anapondwa vibaya, iweje wasiende kupigana huko Ukraine, eti wanajiweka tayari, na nyie mnasikiliza? Waoga hao, waoga sana haaa haaaa, ujue cowards utawajua kwa kuongea ongea tu, but real fighters hakuna kuongea sana, ni action tu, piga hadi magofu unayaona, aaarrgghh i wish ningekuwa Putin, saa hz Biden angekuwa kwenye handaki huko US, ha haa, nyoko sana hawa wazungu.
 
Kainchi kadogo kamewashinda kufumua.
Nchi ndogo ni Iraq hakuna msaada waliopewa walipovamiwa,Ukraine kapewa teknolojia za ulaya yote na bado , hao Nato wanalia lia kama kuku waliokatwa kichwa
 
Wewe utakuwa imechizika kwa bangi. Kwa taarifa yako hakuna taifa linalojua nguvu ya kijeshi ya Russia kwa ufasaha zaidi kama marekani na ndio maana kila mrusi atakapotia mguu, mmarekani anakuwa na choice mbili tu, atoke nduki ama atulie kama ananyolewa
 
Mkataba hauruhusu kupigana Ukraine, mpaka siku Urusi atakosea njia aguse kataifa kamoja ka NATO.
 
Wote tumeshuhudia Urusi alivyolizwa na kataifa kadogo hapo pembeni mwake, hivyo hatuhitaji kipimo kingine cha kujua alivyo wa hovyo.
 
Nchi ndogo ni Iraq hakuna msaada waliopewa walipovamiwa,Ukraine kapewa teknolojia za ulaya yote na bado , hao Nato wanalia lia kama kuku waliokatwa kichwa

Iraq alivamiwa na supapawa wa kweli, huyu Ukraine amevamiwa na supapawa mchongo aliyepokea za uso pale Kyev na kukimbia.
 
Mkataba hauruhusu kupigana Ukraine, mpaka siku Urusi atakosea njia aguse kataifa kamoja ka NATO.
Ila mkataba uliruhusu kupigana Iraq,Syria,Yemen na Yugoslav?
 
Ila mkataba uliruhusu kupigana Iraq,Syria,Yemen na Yugoslav?

Hao walianzishwa maugomvi wa kindani ndani kwanza, huyu urusi hela zake zimeminya hivyo Warusi cha moto wameanza kukipata ndani kwa ndani, wakilianisha humo humo itakua rahisi kukata kichwa maana tayari amefahamika hala lolote.
 
Iraq alivamiwa na supapawa wa kweli, huyu Ukraine amevamiwa na supapawa mchongo aliyepokea za uso pale Kyev na kukimbia.
Iraq mwarabu alivamiwa na US na washirika wake wa ulaya , huyu Ukraine ni mzungu sasa anapigwa mpaka wazungu wenzake wa Nato wanalia lia, walifikiri ni waarabu na waafrica pekee ndio wakimbizi, sasa mbabe Putin amepeleka wakimbizi ulaya na Nato hana la kufanya zaidi ya kulia lia
 
Mwarabu mmliki wa dini yenu alipigwa mapigo ya mbali akapigika kama senene ndani ya muda mfupi, huyu ni kajirani hapo Urusi na kameshindikana ameambulia vimiji vya huko mpakani, kainchi kadogo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…