Natoa 50k (elfu hamsini)

Dah umejibu vizuri mkuu... yaani huu ndo ule ukweli unaoumaaa!!
Sasa lakini mwisho wake nini...tuache kuwapa proposal wabongo wenzetu tuzipeleke ughaibuni????
Mpaka lini sasa??
 
Asante sana mkuu mfano wako umenifungua kitu... nahisi ni muda wa ku strategize upya.
 
Dah umejibu vizuri mkuu... yaani huu ndo ule ukweli unaoumaaa!!
Sasa lakini mwisho wake nini...tuache kuwapa proposal wabongo wenzetu tuzipeleke ughaibuni????
Mpaka lini sasa??
Maneno matupu hayatoshi kama unao uwezo tengeneza prototype au working model...., au anza mwenyewe watakuja baadae wabongo hawataki kuumiza kichwa wala long term plans wanataka pesa ya haraka na kitu / pesa ya kupiga haraka....

Hata huko ughaibuni wanaweza wasi-invest kwenye idea yako bali market potential au tayari una wateja wangapi (Idea pekee its nothing) kwahio tafuta watu wako wa karibu fanya / anza na idea yako kidogo ionyeshe muelekeo (kama ina ugumu fulani / barrier to entry; the better sio kitu cha kila mtu kuweza kuiga kwa urahisi....)

In short ku-make ni mambo mengi; the right idea at the right time na right people..., Huenda Mpesa bila Vodacom isingefanya kazi..., Facebook ilikuja baada ya MySpace lakini ndio hivyo..., YouTube bila Google wala tusingeisikia..., huenda wewe ungekuja na idea ya Uber wala isingefika popote ila ukiwa na software tayari na una madereva Tax hata kumi ushawasajiri huenda kila tajiri atakaa na wewe mezani na kumuonyesha APP mwenyewe ataanza kukubembeleza..., In short its a Jungle Out there...... and sometimes lady lucky plays a part..... Ila my suggestions kama unaweza wafuate ukiwa na finished product..., hii dunia ishakuwa tambala bovu (Muulize Sugu na Malaria No More)..., Ingawa huenda bila hao aliowafuata isingekuwa as big as it was....
 
Kwa Diamond platnumz, mtafute tu baba Levo issue yako itakuwa imeisha mkuu
 
Mkuu nimekufatilia toka mwanzo , inaoneka umekeleka na namna ya uwasilishaji wa hoja ya jamaa, Ila msamehe, na Kama unao uwezo wa kutimiza hitaji lake msaidie tafadhari!!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nimeenda sana ila naishiwa kuchezewa akili na watu wa reception...nenda rudi nenda rudiii

Kukutanishwa namaanisha mtu ambaye anaweza kunipeleka direct nikakutana nao nikapresent nnacho present then nampa 50k yake
Hicho cha ku present hakifai ku present kwa maandishi ukawaachia hapo Mapokezi?.
 
Hao meneja'z mauzo wa cola,pepsi na tbl ungekuwa arusha ningekukutanisha nao chap kwa haraka ata leo jioni kilingeni kwetu kijenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…