Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
- Thread starter
- #41
Dah umejibu vizuri mkuu... yaani huu ndo ule ukweli unaoumaaa!!Yaani Meneja Masoko wa Kampuni za Vinywaji kumkutanisha kwa hio 50K ni ndogo !!!!, Pesa yetu ya madafu haina thamani ila sio kihivyo.....
Na hawa watu tusiwapandishe chati wana- machawa kibao na watu wa karibu wala sio kazi kuwapata (ingawa kuwapata haimaanishi chochote) issue ni kukubaliwa na unachowaambia especially wabongo... (kama issue ni kubwa subiri kupigwa kama ni ndogo subiri kupokea dharau)
Sasa lakini mwisho wake nini...tuache kuwapa proposal wabongo wenzetu tuzipeleke ughaibuni????
Mpaka lini sasa??