Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Hii ni bonge ya ubunifu ulioufanya. Ikiwezekana usajili kampuni kabisa iwe rasmi..!
 
Kazi nzuri sana mkuu, nilikuagiza hapo MCT, ukanisaidia Jambo langu na Kwa mda sahihi na Kwa uaminifu wa Hali ya juu, tutawasiliana tena, tutawasiliana tena nikiwa na shida hapo MCT, shukrani sana.
Asante.Karibu sana mdau.
 
Hata wewe mwenye uhitaji wa;-

📍USAIDIZI WA KUPATA HATI MILIKI YA ARDHI ILIYOPIMWA
📍KUOMBA KIBALI CHA UJENZI

📍KUANDAA MIKATABA YA KISHERIA YA ARDHI


Na nyinginezo... waweza kufanya mawasiliano.
 
Ungana na wenzako wenye mambo yasiyowalazimu wao kuwa maeneo ya kupatiwa huduma kwa kuwasiliana na DODOMA MESSENGERS kwa 0765920855,uweze kusaidiwa kushugjulikia kwa gharama nafuu.
Hii ni kwa wewe uliye mbali na DODOMA au upo DODOMA ila umebanwa na kazi nyingine
 
Fikiria safari ya kutoka Mwanza au Bukoba,uchovu unaoupata,nauli zinazotumika na mambo mengine,halafu ufikirie kuepushwa na hayo yote,kwa gharama nafuu hasa unaposaidiwa kupata huduma stahki,huoni kua ni jambo jema ukifanya mawasiliano na DODOMA MESSENGERS?
Piga au tuma sms muda wowote,upewe utaratibu kwenye 0765920855.
 
Nahitaji MTU anayetoa huduma kama hii yako ila aliyepo Dar es salaam
Kuna wadau walikua wanawasiliana namimi kuhusu kuanzisha Kwa Dar,sijajua kama walishaanzisha au laa,bilashaka wakiona hiyo komenti yako wanaweza wanawasiliana nawewe kama walianzisha.
 
Kwa wewe uliye mbali na jambo lako halikulazimu kuwepo eneo la kupatiwa huduma,usisite kufanya mawasiliano kwa 0765920855,hata wewe ambaye upo DODOMA, unaweza kufanya hivyo.
 
Wewe mhitaji wa leseni pale MCT,chakufanya ni rahisi tu,andaa barua yako ya kuchukuliwa leseni husika halafu tuma kwa 'Dodoma messengers' kwa 0765920855 kwa whatsapp,then omba uchukuliwe.Utaipata hukohuko uliko pasipo kulazimika kusafiri
 
Huna haja ya kuwaza kuwa ntawahi kweli kufika eneo nikafanye site visit ilhali DODOMA MESSENGERS wapo na wanauzoefu wa kuifanya hiyo kazi.Fanya mawasiliano kwa 0765920855 useme ni wapi umeona tender,toa maagizo,ufanyiwe kazi na kupewa mrejesho wa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…