Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
- #321
Huna haja ya kuwepo DODOMA,fanya mawasiliano usaidiwe kama ilivyo kwa wadau wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana.mkuu nimekupenda bureetuamkieefursaa wapendwa mkuu ntakuona
Asante sana.Aisee nimekukubali.hongera kujiajiri.
Nitafutie bwana hapo Dom eheeeeAsante sana.
Poa mkuu,ntajitahidi, although siku kadhaa ubize umekua mwingi, ntajitahidi.Nitafutie bwana hapo Dom eheeee
Mkuu unaweza nitafutia wateja hapo dodoma wa mchele na maharage tunalipana kwa commissionOkoa muda na gaharama.... tuwasiliane tusaidiane kutatua jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa Dodoma.
Inawezekana,muhimu tufanye mawasiliano kwa 0765920855.Sikua online muda mrefu,kwasababu nilikua nakimbizana na watu wa kada ya afya,kwenye mambo yao ya leseni.... MCT na TNMCMkuu unaweza nitafutia wateja hapo dodoma wa mchele na maharage tunalipana kwa commission
Tuko pamoja mkuu.Wee jamaa unetisha. Hongera Sana...tangu 2022 mpka Sasa unadunda.. Keep up na uaminifu Wako ndo mtaji Wako.
Mkuu kiukwel umeanzisha huduma nzuri na itasaidia watu wengi sanaUnarahisishiwa kwa kusaidiwa kutatuliwa shida yako Dodoma,kwa shughuli zis8zokulazimu wewe kuwepo Dodoma.Tuwasiliane unufaike kama wenzako.