Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Hata wewe mwenye uhitaji wa leseni ya ufungishaji ndoa(licence to celebrate marriages),mfano wachungaji n.k
waweza kufanya mawasiliano usaidiwe kuipata.Karibu.
 
Mtumishi wa dini ambaye leseni ya ufungishaji ndoa imekwisha muda wake,hata wewe waweza kufanya hima ukasaidiwa namna ya kuchukuliwa leseni husika,na kutumiwa kokote uliko.Fanya mawasiliano kwa 0765920855 usaidiwe bila ya kujali umbali.
 
Epuka gharama za safari,fanya mawasiliano usaidiwe,siyo lazima ufike Dodoma Kwa shughuli isyokulazimu kusafiri.
 
Okoa muda na gaharama.... tuwasiliane tusaidiane kutatua jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa Dodoma.
 
Wee jamaa unetisha. Hongera Sana...tangu 2022 mpka Sasa unadunda.. Keep up na uaminifu Wako ndo mtaji Wako.
 
Mkuu unaweza nitafutia wateja hapo dodoma wa mchele na maharage tunalipana kwa commission
Inawezekana,muhimu tufanye mawasiliano kwa 0765920855.Sikua online muda mrefu,kwasababu nilikua nakimbizana na watu wa kada ya afya,kwenye mambo yao ya leseni.... MCT na TNMC
 
Unarahisishiwa kwa kusaidiwa kutatuliwa shida yako Dodoma,kwa shughuli zis8zokulazimu wewe kuwepo Dodoma.Tuwasiliane unufaike kama wenzako.
 
Unarahisishiwa kwa kusaidiwa kutatuliwa shida yako Dodoma,kwa shughuli zis8zokulazimu wewe kuwepo Dodoma.Tuwasiliane unufaike kama wenzako.
Mkuu kiukwel umeanzisha huduma nzuri na itasaidia watu wengi sana
Naomba kama htojali nipe connection mim nipo Mwanza naweza kua naksaidia kaz zako Kwa wakaz wa mwanza hasa Mwanza mjini, ilemela mpaka magu bila shida maana n mwenyeji na hua napiga ruti sana za kwenda hizo sehem

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom