Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Nina nyaraka zangu TAKUKURU hawakunirudishia baada ya kumaliza kesi. Je waweza kunifuatilia?
Jaribu kufanya mawasiliano nao,kama inawezekana fanya mawasiliano namimi ili niende nikakuchukulie,kwasababu sins experience ya kitu kama hicho.
Asante.
Karibu sana kwa jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma,wakati mwingine.
 
Madaktari na manesi mbalimbali ambao mnatakiwa kuomba kwenye ajira zilizotangazwa majuzi,msisite na nyie kufanya mawasiliano kwa 0765920855 muweze kuchukuliwa vyeti na leseni,mtumiwe soft copies mara baada ya kuchukuliwa,then hard copies zitafuata,huku ukiendelea kuomba kama wenzako wanavyofanya.
 
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Ok, nisaidie ishu moja chief, Kuna changamoto kwenye mfumo wa ajira portal, nimepakia vyeti vyangu vya level ya diploma na degree sasa nahitaji kuondoa vya degree vibaki vya diploma kwenye mfumo hakuna option ya kuondoa nasikia ni mpaka hapo wizara ya ajira kitengo Cha IT ndo wanaweza kuondoa, na Mimi nipo mbali ruvuma-nyasa unaweza nishughulikia Hilo?
 
Ok,nisaidie ishu moja chief,Kuna changamoto kwenye mfumo wa ajira portal,nimepakia vyeti vyangu vya level ya diploma na degree sasa nahitaji kuondoa vya degree vibaki vya diploma kwenye mfumo hakuna option ya kuondoa nasikia ni mpaka hapo wizara ya ajira kitengo Cha IT ndo wanaweza kuondoa ,na Mimi nipo mbali ruvuma-nyasa unaweza nishughulikia Hilo?
Naomba ufatilie Hilo kama inawezekana tufanye kazi
 
Ok, nisaidie ishu moja chief, Kuna changamoto kwenye mfumo wa ajira portal, nimepakia vyeti vyangu vya level ya diploma na degree sasa nahitaji kuondoa vya degree vibaki vya diploma kwenye mfumo hakuna option ya kuondoa nasikia ni mpaka hapo wizara ya ajira kitengo Cha IT ndo wanaweza kuondoa, na Mimi nipo mbali ruvuma-nyasa

Ok, nisaidie ishu moja chief, Kuna changamoto kwenye mfumo wa ajira portal, nimepakia vyeti vyangu vya level ya diploma na degree sasa nahitaji kuondoa vya degree vibaki vya diploma kwenye mfumo hakuna option ya kuondoa nasikia ni mpaka hapo wizara ya ajira kitengo Cha IT ndo wanaweza kuondoa, na Mimi nipo mbali ruvuma-nyasa unaweza nishughulikia Hilo?
Bilashaka wewe ni mmoja ya watu niliowasiliana nao leo,na nikafika PSRS,ambapo nilikupa maelekezo ya namna nilivyojibiwa mimi na baadhi ya wadau kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini.
Karibu tena kwa changamoto nyingine endapo ikikupata kwenye suala jingine.
 
Naomba ufatilie Hilo kama inawezekana tufanye kazi
Bilshaka unaweza ukaingia kwenye mfumo ule wa ESS,ambapo kwa uzoefu ni kwamba tafuta mtu ambaye kwanza mnalingana vyeo na mnafundisha masomo yanayofanana,mfuate utaratibu,hivyo ndivyo niliwahi kushuhudia wakijibiwa baadhi ya walimu waliowahikuniagiza niende Mtumba.
 
Je una una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi?Usijali,wasiliana kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu
 
Fanya mawasiliano kama wenzako,uepukane na foleni zisizokua na ulazima hasa ukifika huku maeneo ya kupatiwa huduma.
 
Back
Top Bottom