Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Mkuu kiukwel umeanzisha huduma nzuri na itasaidia watu wengi sana
Naomba kama htojali nipe connection mim nipo Mwanza naweza kua naksaidia kaz zako Kwa wakaz wa mwanza hasa Mwanza mjini, ilemela mpaka magu bila shida maana n mwenyeji na hua napiga ruti sana za kwenda hizo sehem

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Sawa ndugu yangu,tuwasiliane kwa 0765920855 tupange logistics.Asante.
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Kila la heri,wadau watakuona na kukupa msaada stahki.
 
Fanya mawasiliano kama wenzako wa Tabora,Mwanza,Moshi,Mbozi,Lushoto,Morogoro na kwingineko.Uzoefu umepatikana kwenye kufanyia watu quotations,kuchukulia watu leseni MCT na TNMC,site visit ambapo nimeenda kufanya pale TAKWIMU HOUSE,Hombolo kwenye chuo cha serikali za mitaa,nimeagizwa tena MUCO,Moshi kufanya hiyohiyo site visit na makampuni yanayohitaji kufanya catering... n.k
Fanya mawasiliano kwa 0765920855 usaidiwe kufanya shughuli ambayo hulazimiki kuwepo eneo la kupatiwa huduma.
 
Uwe unahitaji kufanyiwa sales quotation,site visit,kusaidiwa kuchukuliwa leseni hasa kwa viongozi wa dini ambao leseni za ufungishaji ndoa zimeisha muda wake,madaktari,wauguzi na mambo kadha wa kadha yasiyokulazimu kuwepo eneo la kupatiwa huduma.Fanya mawasiliano
 
Nataka nije Dodoma na ile train ya umeme siku itakayozinduliwa, je naweza nikapata lishangazi lililochangamka la kula nalo raha?
 
Nataka nije Dodoma na ile train ya umeme siku itakayozinduliwa, je naweza nikapata lishangazi lililochangamka la kula nalo raha?
😄😄😄 hilo jambo linakulazimu wewe mwenyewe mkuu.
Karibu kwa jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma.
 
Ungana na wenzako,kuwekwa kwenye ratiba,uhudumiwe kwa wewe ambaye si lazima ufike Dodoma na kuwepo eneo la kupatiwa huduma.Epuka kupanga foleni,kukaa loji na mengineyo,baki uliko uendelee na shughuli zako,huku ukisaidiwa jambo lako.
 
Back
Top Bottom