Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Nina nyaraka zangu TAKUKURU hawakunirudishia baada ya kumaliza kesi. Je waweza kunifuatilia?
Jaribu kufanya mawasiliano nao,kama inawezekana fanya mawasiliano namimi ili niende nikakuchukulie,kwasababu sins experience ya kitu kama hicho.
Asante.
Karibu sana kwa jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma,wakati mwingine.
 
Madaktari na manesi mbalimbali ambao mnatakiwa kuomba kwenye ajira zilizotangazwa majuzi,msisite na nyie kufanya mawasiliano kwa 0765920855 muweze kuchukuliwa vyeti na leseni,mtumiwe soft copies mara baada ya kuchukuliwa,then hard copies zitafuata,huku ukiendelea kuomba kama wenzako wanavyofanya.
 
Ok, nisaidie ishu moja chief, Kuna changamoto kwenye mfumo wa ajira portal, nimepakia vyeti vyangu vya level ya diploma na degree sasa nahitaji kuondoa vya degree vibaki vya diploma kwenye mfumo hakuna option ya kuondoa nasikia ni mpaka hapo wizara ya ajira kitengo Cha IT ndo wanaweza kuondoa, na Mimi nipo mbali ruvuma-nyasa unaweza nishughulikia Hilo?
 
Naomba ufatilie Hilo kama inawezekana tufanye kazi
 

Bilashaka wewe ni mmoja ya watu niliowasiliana nao leo,na nikafika PSRS,ambapo nilikupa maelekezo ya namna nilivyojibiwa mimi na baadhi ya wadau kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini.
Karibu tena kwa changamoto nyingine endapo ikikupata kwenye suala jingine.
 
Naomba ufatilie Hilo kama inawezekana tufanye kazi
Bilshaka unaweza ukaingia kwenye mfumo ule wa ESS,ambapo kwa uzoefu ni kwamba tafuta mtu ambaye kwanza mnalingana vyeo na mnafundisha masomo yanayofanana,mfuate utaratibu,hivyo ndivyo niliwahi kushuhudia wakijibiwa baadhi ya walimu waliowahikuniagiza niende Mtumba.
 
Je una una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi?Usijali,wasiliana kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu
 
Fanya mawasiliano kama wenzako,uepukane na foleni zisizokua na ulazima hasa ukifika huku maeneo ya kupatiwa huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…