Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
-
- #401
Mkuu watu ni wengi,ingekua ni wachache sana,tungekua tulishaacha kuifanya hii kazi,badala yake tunazidi kuiboresha.Kutopost huku haimasnishi wanaohudumiwa ni wachache,ukienda X kule matangazo yanapita kila mara sasa sijui kipi kinakufanya ujibu kua wachache sana?Wachache Sana.
Hapana,unaandika uongo,namba iliyopo ni hiyo hapo ya 0765920855 na ipo hewani masaa yote.Acha uhuni kwa manufaa yako.Hakuna mtu aliyepiga simu akajibiwa kua niko Mwanza.Sio wewe nilikupigia ukasema umepata kazi mwanza?
Nilikupa ishu ya tra.
Ukasema utakuja huku ku update Uzi kuwa hufanyi tena?
y mkuu,basi kutakuwa na Uzi kwingune ishu hii ya Dodoma messenger.Hapana,unaandika uongo,namba iliyopo ni hiyo hapo ya 0765920855 na ipo hewani masaa yote.Acha uhuni kwa manufaa yako.Hakuna mtu aliyepiga simu akajibiwa kua niko Mwanza.
Mkuu huu uzi ni mmoja tu,na hiyo DODOMA MESSENGERS ni moja tu,na namba ya simu ni hiyo uliyowekewa ya 0765920855 ambayo hivi ninavyoandika kuna oda za kuanzia jumatatu,leo unapokuja kuongia kwenye huu uzi unasema huduma imesitishwa,lazima nikuone kama una nia ovu.Acha hizo mzee.Hakuna uzi mwingine zaidi ya huu.Oka
y mkuu,basi kutakuwa na Uzi kwingune ishu hii ya Dodoma messenger.
Alafu sijafanya uhuni mkuu,kuwa mstaarabu.
Haina shida,utafanya mawasiliano muda wowote,uelezewe kwa kina ili uwe na options nzuri in accordance.Mkuu nataka unifanyie survey kujua maeneo yanayojengwa zaidi. Nahitaji kiwanja cha kujenga
SawaMkuu watu ni wengi,ingekua ni wachache sana,tungekua tulishaacha kuifanya hii kazi,badala yake tunazidi kuiboresha.Kutopost huku haimasnishi wanaohudumiwa ni wachache,ukienda X kule matangazo yanapita kila mara sasa sijui kipi kinakufanya ujibu kua wachache sana?
Wizara ya kazi ajira na maendeleo ya vijana huwa hauna access ?Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Noma sana!Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Hapana.Wizara ya kazi ajira na maendeleo ya vijana huwa hauna access ?
Ni jambo jema mkuu kama unasema kweli,utasaidia wengi hakika umejiongeza kihalali kabisa,nikuulize je vipi viwango vyako vya malipo hasa?na ni changamoto zipi zimeshakupata toka kwa wale unaowahudumia?,na unatatua?,na je we unafahamika sana kwa viongozi.Hakika, najitahidi sana kua mwaminifu, niliowafanyia hivyo wananijua, maana wamekua wakiambiana,hivyo kunitumia kuwarahisishia mambo. Mtu yupo Kigoma huko, haina haja ya kuja kulala loji, nauli za kuja na kurudi, kwahiyo ni bora nimshughulikie,nikimmalizia shughuli yake, aniwezeshe kiasi atakachowiwa nacho.
1.Viwqngo vya malipo inategemeana na shughuli husika,naweza kutolea mfano moja ya shughuli niliyopata leo,ilikua ni kwenda TAMISEMI kwajili ya kuwasilisha changamoto ya jamaa wa Lindi,aliyekua anashindwa kuendelea kufanya maombi kwenye mfumo,yeye alichajiwa Tsh.20000/= na suala lake lilipofanikiwa akanipa mrejesho nikaondoka eneo husika,nikimaanisha SOKOINE HOUSE,though nilienda Mtumba,kufika nikaambiwa nenda kwenye idara ya afya iliyoko Sokoine.So gharama inategemeana.Ni jambo jema mkuu kama unasema kweli,utasaidia wengi hakika umejiongeza kihalali kabisa,nikuulize je vipi viwango vyako vya malipo hasa?na ni changamoto zipi zimeshakupata toka kwa wale unaowahudumia?,na unatatua?,na je we unafahamika sana kwa viongozi.
Fafanua tafadhari.
Sawa.Nifate dm
Nahitaji mpenzi wa Dodoma jaman, nitaweza kumpataMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.