Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Wachache Sana.
Mkuu watu ni wengi,ingekua ni wachache sana,tungekua tulishaacha kuifanya hii kazi,badala yake tunazidi kuiboresha.Kutopost huku haimasnishi wanaohudumiwa ni wachache,ukienda X kule matangazo yanapita kila mara sasa sijui kipi kinakufanya ujibu kua wachache sana?
 
Sio wewe nilikupigia ukasema umepata kazi mwanza?

Nilikupa ishu ya tra.
Ukasema utakuja huku ku update Uzi kuwa hufanyi tena?
Hapana,unaandika uongo,namba iliyopo ni hiyo hapo ya 0765920855 na ipo hewani masaa yote.Acha uhuni kwa manufaa yako.Hakuna mtu aliyepiga simu akajibiwa kua niko Mwanza.
 
Oka

y mkuu,basi kutakuwa na Uzi kwingune ishu hii ya Dodoma messenger.

Alafu sijafanya uhuni mkuu,kuwa mstaarabu.
 
Mkuu huu uzi ni mmoja tu,na hiyo DODOMA MESSENGERS ni moja tu,na namba ya simu ni hiyo uliyowekewa ya 0765920855 ambayo hivi ninavyoandika kuna oda za kuanzia jumatatu,leo unapokuja kuongia kwenye huu uzi unasema huduma imesitishwa,lazima nikuone kama una nia ovu.Acha hizo mzee.Hakuna uzi mwingine zaidi ya huu.
 
Mkuu nataka unifanyie survey kujua maeneo yanayojengwa zaidi. Nahitaji kiwanja cha kujenga
 
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Wizara ya kazi ajira na maendeleo ya vijana huwa hauna access ?
 
Noma sana!
 
Fanya mawasiliano uwekwe kwenye orodha ya watu watakaohudumiwa na wanaohudumiwa kama wenzako.Waweza kuokoa gharama zinazoweza kuepukika na usumbufu usio wa lazima.0765920855 WhatsApp na kupiga kawaida.
 
Hakika, najitahidi sana kua mwaminifu, niliowafanyia hivyo wananijua, maana wamekua wakiambiana,hivyo kunitumia kuwarahisishia mambo. Mtu yupo Kigoma huko, haina haja ya kuja kulala loji, nauli za kuja na kurudi, kwahiyo ni bora nimshughulikie,nikimmalizia shughuli yake, aniwezeshe kiasi atakachowiwa nacho.
Ni jambo jema mkuu kama unasema kweli,utasaidia wengi hakika umejiongeza kihalali kabisa,nikuulize je vipi viwango vyako vya malipo hasa?na ni changamoto zipi zimeshakupata toka kwa wale unaowahudumia?,na unatatua?,na je we unafahamika sana kwa viongozi.
 
1.Viwqngo vya malipo inategemeana na shughuli husika,naweza kutolea mfano moja ya shughuli niliyopata leo,ilikua ni kwenda TAMISEMI kwajili ya kuwasilisha changamoto ya jamaa wa Lindi,aliyekua anashindwa kuendelea kufanya maombi kwenye mfumo,yeye alichajiwa Tsh.20000/= na suala lake lilipofanikiwa akanipa mrejesho nikaondoka eneo husika,nikimaanisha SOKOINE HOUSE,though nilienda Mtumba,kufika nikaambiwa nenda kwenye idara ya afya iliyoko Sokoine.So gharama inategemeana.
2.Changamoto ninazokutana nazo,mimi na wasaidizi wangu,ni utapeli,kwani kuna baadhi ya watu wakitatuliwa shida zao hasa kama ni mara ya kwanza,wakifanikishiwa hawalipi viwango tunavyokua tumekubaliana na wanaacha kupokea simu kabisa,wengine wana-block kabisa namba,changamoto nyingine ni za kawaida mfano kutopewa ushirikiano wa haraka na baadhi ya maofisa mfano kama imetokea kuagizwa kwenda kufanya site visit kwenye taasisi
flani,hasa ilyopo mkoa tofauti na niliopo,mfano Moshi,nakosa ushirikiano wa haraka kutoka kwa watu wa manunuzi,hivyo kuathiri ratiba zangu na mengineyo.
3.Hili la kufahamika,nafahamika na baadhi yao,ninaokutana nao katika utekelezaji wa majukumu yangu.
 
Kwenye hii nyumba ya huduma naomba niibe/nichukue pasi tu

download.jpg
 
Huna haja ya kuja Dodoma kwa jambo lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma.Fanya mawasiliano kama wenzako,na utahudumiwa kwa weledi na hatimaye kuepuka gharama mbalimbali kama za safari,malazi na nyinginezo.Namba zinazotumika kwaajili ya mawasiliano ni 0765920855.Uaminifu ndo unafanya huduma imeendelea kuwepo hadi sasa.
 
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Nahitaji mpenzi wa Dodoma jaman, nitaweza kumpata
 
Back
Top Bottom