Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Okoa gharama zisizokulazimu kuzipoteza kwa jambo lisilokuhitaji wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma Dodoma. Fanya mawasiliano kwa kupiga au WhatsApp kwa 0765920855 uhudumiwe kama wenzako wengi.
 
Nawapataje wabunge wa kujirusha nao weekend hii?
 
Hata wewe ambaye una changamoto kwenye akaunti ya ajira portal, huna ulazima wa kuja Dodoma, waweza kufanya mawasiliano ili utoe maagizo yafikishwe ofisi husika na utatuliwe jambo lako.Itakusaidia kuokoa gharama zinazoepukika.
Mawasiliano ni 0765920855.
NB:OFISI ZAO HAZIPO TENA UDOM,ZIPO KARIBU NA MAHAKAMA KUU KWASASA.
 
Ushawahi shughulika na uhamisho wa watumishi tamisemi?
 
Sawa
 
Nataka nikutumie pale OUT uwende ukanisaidie kukamilisha registration yangu . Utaweza?
 
Hongera sana, ni ubunifu mzuri. Kama huna ofisi rasmi kwa maana ya chumba, nakushauri uanzishe ili urasmishe hiyo kazi. Trust me, utafika mbali. Historia inaonesha kuwa hata Kampuni ya DHL ilianza vivyo hivyo kama wewe.
 
Hongera sana, ni ubunifu mzuri. Kama huna ofisi rasmi kwa maana ya chumba, nakushauri uanzishe ili urasmishe hiyo kazi. Trust me, utafika mbali. Historia inaonesha kuwa hata Kampuni ya DHL ilianza vivyo hivyo kama wewe.
Asante sana.
 
Epuka gharama zinazoweza kuepukika.Fanya mawasiliano kwa njia ya kupiga au hata WhatsApp,kwa namba 0765920855 uhudumiwe kama wengi wanavyohudumiwa,kwa mambo kadha wa kadha yasiyowalazimu wao kuwepo maeneo ya kupatiwa huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…