Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 614
- 961
- Thread starter
- #481
Halafu pia,kuna mawasiliano hapo kwenye bandiko,ungekua umewasiliana namimi nikiwa palepale,mambo mengi ungeuliza na kupewa ufafanuzi,kuliko hii ya mimi nawewe kuchati hapa,ndivyo wenzako wengi wanavyofanya.Kwa 0765920855 utanipata WhatsApp na kwenye calls za kawaida.Nilifikiri hii ndio huduma unayoitoa wewe kwa walio mbali, kumbe na wewe unaniambia nitume mtu.
Nimekutajia experience ya huyo mtu ili ujue ofisi yenye changamoto ili kama ni hiyo hiyo ndiyo ofisi iliyokuhakikishia matumizi ya power, nikupe hiyo kazi.