Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Mkuu,nikitaka mashamba kule mpunguzi au matumbulu,ekari moja inasomaje bei?

Maji yapo?
Tuendelee kuepuka gharama za muda na pesa zinazoweza kuepukika kwa mambo yasiyokuhitaji wewe uliye mbali na Dodoma kuwepo maeneo ya kupatiwa huduma na hata uliyepo Dodoma ila umetingwa na shughuli mbalimbali.Tuwasiliane kama wafanyavyo wenzako kwa 0765920855
 
Kwa wewe mhitaji WA cheti cha kifo,unatakiwa uwe na viambatanisho vifautavyo Ili uweze kuombewa cheti husika:
1.Muhtasari wa kikao cha familia
2.Barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji
3.Kiatambulisho cha marehemu
4.Kibali cha mazishi
5.Cheti cha kuzaliwa(kama ni mtoto wa marehemu) au kitambulisho cha kura au cha Taifa(NIDA)
6.Cheti cha ndoa(kama wewe ni mwenza)
Okoa gharama za muda na pesa zinazoepukika
Fanya mawasiliano kwa 0765920855 kama wenzako uhudumiwe kama wenzako wengi*
 
Kwa wewe mhitaji wa leseni namaanisha kwa madaktari,taarifa iliyopo ni kwamba shughuli zote zinafanywa online,ambapo ukimaliza kujaza taarifa hitajika,utagenerate control number,na kisha utalipia na kuprint leseni yako.Hakikisha kwa wewe unaye-renew una CPD zinazohitajika.
Wale wanaochukua vyeti ndo nawaona wako MCT kwaajili ya kuchukua vyeti,bilashaka hivi vinaprintiwa ofisini kwao tu.
Tambua MCT kwasasa wako kwenye mfumo wa Health Practitioners Registration System(HPRS),hivyo wewe medical practitioner kama daktari,unatakiwa u-log in kwenye huo mfumo kwa kuingiza email yako iliyokua kwenye akaunti ya MCT,halafu uweke password uliyokua unaingilia then utapata verification code kwenye namba yako ya simu kuonyesha hiyo ndiyo password mpya,ambayo utaitumia kuingia HPRS ambapo kwenye hiyo code utakayoipata utashauriwa kubadili password mara ukishaingia kwenye mfumo.
Kama hujaelewa unaweza ukawapigia simu wahusika kwa namba Yao iliyoko kwenye website na kama watakua hawapokei labda kwasababu simu yao inahudumia wateja wengi,waweza kuwasiliana nami nikakuelewesha kwa yale ninayoyajua kwa 0765920855
 
📌 HUDUMA HIZI WAWEZA KUSAIDIWA KUZIPATA PASIPO KULAZIMIKA KUFIKA OFISI ZINAZOZOTOA HIZO HUDUMA KWA NYAKATI ZA MWANZO

📄 GHARAMA ZA VYETI (MALIPO YA SERIKALI KWA CONTROL NUMBER)

1. Cheti kipya (miaka 10+) – 20,000/=
2. Cheti kwa mtoto (umri 0-9) – 8,000/=
3. Kubadilisha cheti cha zamani kuwa kipya (OLD to NEW) – 7,000/=
4. Kuhakiki cheti cha kuzaliwa/kifo – 6,000/=
5. Cheti cha kifo – 20,000/=
NB:HATA WEWE MHITAJI WA HUDUMA NYINGINEZO KAMA:-
01.MAOMBI YA TRANSCRIPT NACTEVET
02.LOSS REPORT (HATI YA UPOTEVU WA MALI
03.MAOMBI YA NDOA
04.MAOMBI YA HATI ZA TALAKA
05.MAOMBI YA HPRS NA KUSAIDIA KUHUISHA TAARIFA (KWA WALE WA MCT/HLTPC/TNMC n.k)
06.MAOMBI YA PASI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT)
07.MAOMBI YA NIDA(HATUA ZA AWALI)
💳 GHARAMA NI NAFUU SANA

✅ NB: Gharama zote za serikali hulipwa kwa Control Number.
MAWASILIANO:0765920855
UNAHUDUMIWA UKIWA POPOTE NCHINI

📲 KARIBU UHUDUMIWE KWA UFANISI NA HARAKA KULIKO INAVYOFIKIRIWA.
 
📌 HUDUMA HIZI WAWEZA KUSAIDIWA KUZIPATA PASIPO KULAZIMIKA KUFIKA OFISI ZINAZOZOTOA HIZO HUDUMA KWA NYAKATI ZA MWANZO

📄 GHARAMA ZA VYETI (MALIPO YA SERIKALI KWA CONTROL NUMBER)

1. Cheti kipya (miaka 10+) – 20,000/=
2. Cheti kwa mtoto (umri 0-9) – 8,000/=
3. Kubadilisha cheti cha zamani kuwa kipya (OLD to NEW) – 7,000/=
4. Kuhakiki cheti cha kuzaliwa/kifo – 6,000/=
5. Cheti cha kifo – 20,000/=
NB:HATA WEWE MHITAJI WA HUDUMA NYINGINEZO KAMA:-
01.MAOMBI YA TRANSCRIPT NACTEVET
02.LOSS REPORT (HATI YA UPOTEVU WA MALI
03.MAOMBI YA NDOA
04.MAOMBI YA HATI ZA TALAKA
05.MAOMBI YA HPRS NA KUSAIDIA KUHUISHA TAARIFA (KWA WALE WA MCT/HLTPC/TNMC n.k)
06.MAOMBI YA PASI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT)
07.MAOMBI YA NIDA(HATUA ZA AWALI)
💳 GHARAMA NI NAFUU SANA

✅ NB: Gharama zote za serikali hulipwa kwa Control Number.
MAWASILIANO:0765920855
UNAHUDUMIWA UKIWA POPOTE NCHINI

📲 KARIBU UHUDUMIWE KWA UFANISI NA HARAKA KULIKO INAVYOFIKIRIWA.
 
Kama una mwanao ana cheti kama hiki,karibu usaidiwe namna ya kukibadilisha apate cheti kipya kama hicho kingine chenye rangi ya maziwa,kinachosoma kwenye mfumo,kwaajili ya matumizi ya sasa na ya baadae kama ukataji wa bima yake,kusajiliwa shule n.k.
Fanya mawasiliano kwa 0765920855 kama wenzako
 

Attachments

  • WA_1774902836890.jpeg
    WA_1774902836890.jpeg
    103.2 KB · Views: 16
  • IMG-20260304-WA0014.jpeg
    IMG-20260304-WA0014.jpeg
    289.6 KB · Views: 13
Shughuli mbalimbali bado zinapokelewa ilhali nyingine zinakamilishwa.Wasiliana na Dodoma messengers kwa +255765920855 tutatue matatizo pamoja kama wenzako wengi.
Epuka gharama za muda na pesa.
 
Kwa wale ambao wanaagiza wafanyiwe approval ya enrollment registration na licence approval MCT,wahakikishe wame-attach vitu vifuatavyo kwa ukamilifu:
1.Award Verification Number
2.Birth certificate
3.Curiculum Vitae(CV)
4.Professional certificate
5.Secondary school certificate na
6.Picha ya passport size
-Kama unapata changamoto waweza kuwasiliana kwa 0765920855 usaidiwe ili usipate usumbufu.
Hata kwawewe unaye-renew leseni na ukakuta mabadiliko ya mfumo,na mfumo unakusumbua,waweza kufanya mawasiliano usaidiwe hata kwa mawazo,endapo unapiga simu yao ya ofisi na haipokelewi kutoka na uwingi wa watumiaji.
0765920855 Whatsapp na kupiga kawaida.
 

Attachments

  • Screenshot_20260609-083807.png
    Screenshot_20260609-083807.png
    112.3 KB · Views: 8
Hata wewe unayetaka kutuma barua kutoka huko uliko,fanya mawasiliano upewe maelekezo, itapokelewa na itafikishwa eneo husika kama ina changamoto utaambiwa urekebishe nini kulingana na majibu yatakayotolewa na wapokeaji wa sehemu itakatayopokelewa barua husika,hivyo wewe kuambiwa na kufanya marekebisho.Epuka kutumia njia ambayo itakufanya ushindwe kujua kama BARUA BAADA YA KUFUNGULIWA NA WATU WA SEHEMU ILIKOKUA INAENDA,IMEKUTWA NA MAKOSA AU LA.Wasiliana kwa 0765920855 kama wenzako.
 
Epuka gharama zinazoweza kuepukika.Fanya mawasiliano kwa njia ya kupiga au hata WhatsApp,kwa namba 0765920855 uhudumiwe kama wengi wanavyohudumiwa,kwa mambo kadha wa kadha yasiyowalazimu wao kuwepo maeneo ya kupatiwa huduma.
 
Epuka gharama zinazoweza kuepukika.Fanya mawasiliano kwa njia ya kupiga au hata WhatsApp,kwa namba 0765920855 uhudumiwe kama wengi wanavyohudumiwa,kwa mambo kadha wa kadha yasiyowalazimu wao kuwepo maeneo ya kupatiwa huduma.
Mimi ni mtumishi wa umma. nahitaji kuhama ktuo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingne. Je una hyo connection? Malipo baada ya kazi.
 
Zipo nyingi,labda ungenipa specifications mfano iwe karibu na wapi ili iwe rahisi mimi kukujibu.
Nahitaji mtu wa kwenda kunifanyia mtihani wa vitendo pale VETA.
Huduma hiyo ni bei gani. Siku ya Jumanne ya Kwanza ya Julai.

Sihitaji maelezo mengine zaidi ya kuambiwa gharama ya huduma.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Nahitaji mtu wa kwenda kunifanyia mtihani wa vitendo pale VETA.
Huduma hiyo ni bei gani. Siku ya Jumanne ya Kwanza ya Julai.

Sihitaji maelezo mengine zaidi ya kuambiwa gharama ya huduma.
Nakushauri ukafanye mwenyewe.
Bilashaka ni kosakisheria kumfanyia mtu mtihani uwe ni practical oriented au vice versa.
 
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.

Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.

Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k

Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.

Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855

Kuna demu ananisumbua sana yuko hapo Dodoma. nambembeleza hanitaki. Ntakucheki ushughulikie hili suala likae sawa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom