Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

Tajiri giza likiingia tu unaanza kujuta na kububujikwa na machozi.
 
Naomba sana kwa Mungu, mwisho wa huyu kenge ni uone nikiwa hai na afya njema. 🙏
 
Kama atatoa location na kweli kachinja chochote natembea mpaka Dodoma kwa miguu
 
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa mualiko wa maulidi Kwa masikini wote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikisheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji mitaji Leo mkifika nitawapa mitaji sababu hao wanaume zenu ni masikini wameshindwa kuwahudumia Mimi ndio nitakua mme wenu wa dharura karibuni masikini wote Leo
Ama kweli maskini akipata kijambio hulia mbwiii
 
Back
Top Bottom