Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

Natoa mwaliko wa Maulid kwa masikini wote

wee mwen
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa mualiko wa maulidi Kwa masikini wote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikisheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji mitaji Leo mkifika nitawapa mitaji sababu hao wanaume zenu ni masikini wameshindwa kuwahudumia Mimi ndio nitakua mme wenu wa dharura karibuni masikini wote Leo
wee mwenyewe lofa tuu,,huna ubavu wa kuchinja hata njiwa
 
Umaarufu unatafutwa kwa nguvuu, Woiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom