Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

Yaani huna tofauti kabisa hawa wanyama wanao mwaga damu whether watakua chadema au ccm.
 
Wewe endelea kuwatawaza mavi hao ccm, Ni hiviiiiii, wananchi wanampenda Lissu usitupotezee muda. Huo ukweli ndio uliompa umashuhuri Hadi Sasa amekuwa hot [emoji513] cake
 
Lissu ni punguani, watanzania hatuwezi pigia kura hilo genge la wahuni. Imekula kwao kuanzia udiwani mpaka Urais. Magufuli, Rais bora kabisa.
 
Wewe endelea kuwatawaza mavi hao ccm, Ni hiviiiiii, wananchi wanampenda Lissu usitupotezee muda. Huo ukweli ndio uliompa umashuhuri Hadi Sasa amekuwa hot [emoji513] cake
Wewe na wapuuzi wenzako, ndio mwapenda hilo genge la wahuni. Mnapoteza muda kushabikia huyo kibaraka wa kina Amsterdam. Hataweza kuwa Rais, kajipangeni upya.
 
Lissu ni punguani, watanzania hatuwezi pigia kura hilo genge la wahuni. Imekula kwao kuanzia udiwani mpaka Urais. Magufuli, Rais bora kabisa.
Acha kabisa kutukana tujenge hoja kistaarabu. Tunaitaji mawazo na fikra huru kujenga taifa kubwa na Uhuru wa mawazo ndio hujenga fikra Pana nayenye tija
 
Wewe na wapuuzi wenzako, ndio mwapenda hilo genge la wahuni. Mnapoteza muda kushabikia huyo kibaraka wa kina Amsterdam. Hataweza kuwa Rais, kajipangeni upya.
Kwa ushahidi upi!? Lazma tutoe hoja za uhakika tuache haya maushabiki ya watu wajinga wajinga.
 
Kama kupigwa risasi ni suala la kipuuzi wewe unaweza kukubali nikupige risasi?
 
Kwamba ccm walichuja kwelikweli na kumpata Magufuli Yani waliweza kuchagua Sana au sio
Hii inachekesha kidogo

Lisu hawezi kuwa na roho hiyo ya visasi akishinda urais tu Ni bonge la ubabe atakuwa amefanya Ni zaidi ya kulipa kisasi hiyo
Lakini hata Kama wakilipana visasi itagarimu nchi sh ngapi bado haitateteresha uongozi au uchumi wa nchi
 
Ela ndiyo nini mburula wewe?!
 
Ktk nchi hizi za kiswahili wananchi walio wengi hawajui mambo ya sera ya vyama kwani wanaona kila siku ccm inavyotamba kuwa ina sera nzuri zinazotekelezeka lkn wanashangaa ndivyo wanavyozidi kuwa masikini kadri miaka inavyokwenda.

Vyama vimeshatoa ilani zao za uchaguzi sasa ni jukumu la anayependa kusoma.

Kwa kadri wananchi wanavyozidi kuwa masikini sio swala la mtu eti atangaze sana sera zake ndio uchaguliwe kwani wanaona hizo sera kama usanii tu wa vyama kutaka wawape kura kusudi watawale. Hamna cha ziada.
 
Nasikia mbwa koko wanabweka kutoka mafichoni.
Na bado,TL sio typu yako inzi wa kijani.Jpm mwenyewe anacheza mziki wa TL
 
Una degedege wewe sio bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…