Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

Ununuzi Ndege kuna ufisadi lazima awambie watu juu ya mapungufu ya CCM kabla ya mengineyo kwanza
 
Ccm mkipata kura angalau 3m mshukuru Mungu na wachawi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa shule awapigi kura my frnd. Sehemu ya vijana wanaohudhuria mikutano ya lissu. Ni wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupiga kura. Uwati wa CCM wengi wao ni wapiga kura . Na wengi wana vitambulisho vya kupiga kura.
 
Dikteta wenu ameshajua kujenga hoja mpaka mhamie kwa jirani??
Maana yeye ndo anasifika kwa kujibu hoja kwa risasi.
Mfundisheni kwanza jiwe kujenga hoja, maana hata kuzungumza tu kiswahili kwake ni shida
Hizo risasi mnazo imba kila siku si muende mkatoe ushahidi wenu huko mahkamani, mnaboa sana, inawezekana hizo risasi mnapigana wenyewe kwa wenyewe
 
Hamuwezi shindana na mtu ambae tayari ni mshindi, Kama ameweza shinda mauti uchaguzi kitu gani.
Lisu Hana kashfa yeyeto Kama walivyo wagombea wengine.
 
Lisu ndie mtu sahihi kwa aina ya siasa za awamu hii.
Utawala huu ulijiaminisha unapendwa ukazuia mikutano ya siasa kwa miaka mitano wakajua kashfa zao ni siri hakuna anayeweza kuwachana ukweli, sasa Lisu kaamua kuwapa vidonge wanaweweseka vibaya
 
Hizo risasi mnazo imba kila siku si muende mkatoe ushahidi wenu huko mahkamani, mnaboa sana, inawezekana hizo risasi mnapigana wenyewe kwa wenyewe
Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni? Kwa ufala wako chadema apeleke kesi mahakamaccm atapata haki? Kuna haki kwenye utawala wenu wa kishetani? wewe ulitaka umpige risasi aache kusema akae kimya? Kama hukutaka aseme usingekwenda Dodoma kumpiga risasi.
 
Mkuu kiongozi ,nilisema humu pindi lissu ameteuliwa na mwalim
Nilisema hii dam changa ya mwaka huu chadema sio ya kitoto,wengine wakawa wanamdhalau mwalim, nikasema mwalim sio wa mchezo mchezo Sasa kadri siku zinavyo zidi mwalim anazidi shangaza, mipango ya chadema kuipata mpaka utumie tochi na haisaidii maana top ten hapo juu wamechukuliwa watu pure.

Na wanaokijua ,na kukipenda chama hakuna tahalifa ya kulick na maana mwamuona mbowe karelax Hana pressure,Mh Benson hasikiki huyo kimkakati zaidi chadema mwaka huu wamejipanga kwelikweli sio wa kubeza ,japo utashangaa ccm wamerilax mziki wamemwachia mgombea wao ,ccm mwafaaa, mgombea wenu Hana Cha kupoteza ,hata alieshindwa tutaendelea kumtunza Kama rais mstahafu Sasa nyie mtakua wageni wa nani
 
To be honesty maccm yakitoboa mwaka huu ,Basi ndio itakuwa awamu yao ya mwisho maana maelfu ya vijana watakaoingia mitaani ndani ya miaka 5 ijayo hawataweza tena kuvumilia wizi wa kura waendelee kuwa na Hali ngumu za maisha.Bahati nzuri au mbaya sera zao ni zile zile za kujenga jenga nk nk
 
Well Said. Tukio la risasi alichukua almost robo tatu ya muda. Tunataka atuambie kwa nini tumpe kura. Binafsi nilisema nampa kura yangu ila jana kaniangusha kabisa. Kura yangu bora nimpe Babu Rungwe.


Kwa Rungwe unafuata Ubwabwa??🤣
 
Nyinyi mtaishia kwenye lugha chafu na matusi, hizo ndio uwezo wenu wakipekee. Mtalia usiku na mchana lakini ujue hamtafika mahali popote. Jipangeni tu akili zenu
 
Watoto wa shule awapigi kura my frnd. Sehemu ya vijana wanaohudhuria mikutano ya lissu. Ni wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupiga kura. Uwati wa CCM wengi wao ni wapiga kura . Na wengi wana vitambulisho vya kupiga kura.
Hizo ni takwimu za hapo gheto kwako? au takwimu za kukariri toka kwa mjinga mkuu wa CCM polepole? Hakuna mpiga kura mwenye Akili timamu anakwenda kwenye mikutano ya CCM, mikutano ya CCM hujaa watu toka wilaya zingine, wanafunzi husombwa kwa mafuso mabasi, mikutano ya CCM bila wasanii hakuna mtu atakaa kusikiliza uzushi kutetea udikiteta
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, CCM hawataki maendeleo pesa zote za viwanda maendeleo za walipa kodi inatumika kuidhoofisha kuihujumu chadema kuua upinzani, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko Taifa lolote Duniani ikiwemo America na pengine ingekuwa na kura ya veto, CCM ya sasa ni ya hovyo imejaa ushetani wa kutisha
 
Well Said. Tukio la risasi alichukua almost robo tatu ya muda. Tunataka atuambie kwa nini tumpe kura. Binafsi nilisema nampa kura yangu ila jana kaniangusha kabisa. Kura yangu bora nimpe Babu Rungwe.

hadi wewe umemkana lissu? basi hali ni mbaya
 

skia izi pombe zingine uku, infact inawezekana hata tungekua maskini zaidi ya hapa tulipo! kua na rasilimali na kua na mtu mwenye maono na izo rasilimali ni kitu kingine, ruzuku ni rasilimali pia, sasa unataka tuishi kama ufipa? tutolee takataka apa
 
Je, hadi leo bado mtazamo wako ni huu comrade?
 
Nyinyi mtaishia kwenye lugha chafu na matusi, hizo ndio uwezo wenu wakipekee. Mtalia usiku na mchana lakini ujue hamtafika mahali popote. Jipangeni tu akili zenu
Endelea kujidanganya unazeeka na kufa bila CCM kurejea tena, huu ndiyo mwisho wake ya Malawi Kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania, CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya?
 

yaani we jamaa bana, kuna mda unaongeaga pointi zmeshiba ila kuna mda unaniangusha kijana wangu! ebu kula majani apo bush ntakuja kuyaotesha tena
 
Nyinyi mtaishia kwenye lugha chafu na matusi, hizo ndio uwezo wenu wakipekee. Mtalia usiku na mchana lakini ujue hamtafika mahali popote. Jipangeni tu akili zenu

Mkuu mpaka mda huu Kama kada umekisaidia chama chako vipi,? wanachama wa ccm katika uchunguzi wangu wa kawaida mnapenda Sana mteremko, unatakiwa mshindwe ili mjirekebishe,angalia wanachama wa chadema pamoja na mazingira magum ila Wana umoja makini Sana,Sasa nyie badala ya kumchangia hata sh 200 mgombea wenu mwasubili nyie mchangiwe,mmetesa Sana mgombea wenu,mh jpm relax umepambana vya kutosha ila chama chako wengi wanachama chako wapo kimaslai zaidi ,binafsi ukishindwa nitakua wa kwanza kukutetea usibughudhiwe yaliyo pita yamepita lazima kuanza ukurasa mpya iyo nitafanya, kukutetea iache kwanza ccm ife ili isukwe upya may be bahada ya miaka 25 itarudi madarakani hakuna namna ya kuwasaidia wanachama wako wakati wao hawawezi jisaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…