Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

skia izi pombe zingine uku, infact inawezekana hata tungekua maskini zaidi ya hapa tulipo! kua na rasilimali na kua na mtu mwenye maono na izo rasilimali ni kitu kingine, ruzuku ni rasilimali pia, sasa unataka tuishi kama ufipa? tutolee takataka apa
Ruzuku ya chadema inatumika kugharamia kesi kesi kibao za kubambikiwa na CCM pesa nyingi inatumika kujihami dhidi ya hujuma za CCM na pia kuimarisha chama, CCM hakuna mwenye maono wote ni wezi watupu mmetafuta trilion 1.5 mkamtoa kafara CAG, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge kuna ufisadi kila mradi wa CCM ni ile ukoo wa panya
 
Hapo anakuambia akishinda atanunua ndege tano zingine. Tujiandae kwa miaka migumu mingine 5.Huyu hapati kura yangu. Akishinda hata akiendeleza ma ujenzi yake mimi nitajifariji kwa kusema sikumpigia kura.

Sasa tatizo lipo wap apo kununua ndege? sio watanzania wote ni maskini ujue ilo.
 

sasa tatizo lipo wap si mradi umetekelezeka, ingekua haujakelezeka apo ingekua kesi ingine!
eti ruzuku mnatumia kugaramikia kesiz a cdm? si mkienda mahakamani mnaweka namba za kuchangia ata hizi kampeni si mmeweka namba za kuchangia ama? wanachama wenu hawatoi ela ama? ruzuku si kila mwezi? 300M+, na Bil 8 juu hazijulikan zpo wap! au unadhan hatujui kinachoendelea,

na kile kibanda chenu pale ufipa, pemben mmeweka mpesa kabisa mtu akichangia hapo hapo anaenda kununua konyagi kubwa
 
Hongera kwa kuliona hilo na kueleza upingufu mkubwa kwenye kampeni za CHADEMA.

Toka awali nimetoa tahadhari kuwa Lissu alipaswa kuchukua muda kuzunguka sehemu mbalimbali za jamii kuthobitisha ukweli wa yale aliyokuwa analishwa akiwa kwenye matibabu, kabla hajateuliwa kuwa mgombea Urais.

Nahisi hakutaka kufanya hivyo kwa sababu ya kesi zinazomkabili na uwezekano wa kufunguliwa mashtaka mapya kuhusu yale aliyokuwa akisema uko ugenini. Hakutaka kufanya hivyo kwa kuwa kama mgombea Urais asingeweza kuendelea na mashtaka. Lakini kaahirisha tu, mashtaka yako palepale na mapya yanamsubiri. Atakosa na kutoswa na wafuasi wake wa mitandaoni kama Lowassa na Membe
 
Natambua Vizuri katika mashindano yeyote kuna kushinda na kushindwa.

Lakini tambua baada ya mchezo kuanza na kuendelea point of winning hubadlika na Mshindi hujilikana hata kabla ya mchezo kuisha.

Kwa hili game uwanja umelala kabisa.
Ushindi nje nje.
 
Unachekesha ujue?unaishi sehemu gani ya Tanzania?!hakuna sehemu ambayo watu hawamjui TAL na watamchagua tuu
 
Mkuu funga nakuomba, lissu na chadema wanachowafanyia ccm sio Cha dunia hii nashukuru umekili,kwamba mshindi hujulikana hata kabla ya mchezo kuisha,, una unajua vizuri kutoka moyoni na nakuona kiroho unajua vizuri ila unajipa matumaini kwa kua ccm ni chama dora,na ndo jia pekee mmebaki nayo kujipa matumaini,iko ivi hii njia pia binafsi kiroho imebaki na asilimia 38.7 kuweni makini Sana ccm ni kazi moja tu au ni mtiani mmoja imebaki kuipandisha japo ipo kazi kwelikweli au ibaki hivyo au ishuke mpaka kufika ziro,mna kazi ngum kweli kweli mwaka huu,mungu ibariki nchi yangu
 
Endelea kujidanganya unazeeka na kufa bila CCM kurejea tena, huu ndiyo mwisho wake ya Malawi Kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania, CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya?
We sibirisk
Kitu cha kwanza kabisa ni vizuri tukaelewa kwamba sisi ni wa afrika ambao tuna tabia mmoja common kwa sisi wote ni hiyo ni UBINAFSI. Kila muafrika anachofikiria ni tombo lake hajali nchi yake, wananchi wake wala ndugu zake waliokua vijijini. Na kwa tamaa zao wako radhi wamwage damu, maana wanajua kikinuka wao watakimbilia nchi za ulaya na kujificha huku wakiacha wakina mama, walemavu, watoto, na wazee wakiteseka na dada zetu mama wetu hata wake zetu wakibakwa mbele zetu, ni hapo kwenye vita na mchafuko. Imagine hiyo pair atakayo kupata au ilishampata wenzetu waliokua kwenye michafuko.
Sasa hapa wote ccm au wapunzani asilimia kubwa sana wako kwenye maslaha yao lakini inawezekana akapatikana mtu mmoja akajaribu kulikomboa taifa lakini wafuasi wake wakiwa bado ni wabaya.
Magu amejitahidi sana kufanya mambo mengi kwa mda mfupi lakini bado kuna mpungufu hapa na pale. Kodi zilikua zinakusanywa miaka yote lakini haijawahi kutokea jinsi alivyo bana na kujenga vituo vya afya, barabara n.k.
Hapo still tunahitaji wapinzani ili kufichua yanayo jificha lakini bahati mbaya wapunzani wetu wao ni kupinga kila kitu, ingawa bwana Lisu ameanza kuona umuhimu wa mwendo kasi na si ajabu kesho akaisifia traini ya kasi pia n.k.
Kwahiyo huyu mzee Magu anahitaji wasaidizi waaminifu hata kama ni upinzani. Ebu fikiria sasa hivi asilimia kubwa ya wale wezi na mafisadi wamehamia chadema na nina jamaa wangu wengi waliobanwa wanamlaani Magu kisa tu hakuna ulaji waliozoea
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala huu ulijiaminisha unapendwa ukazuia mikutano ya siasa kwa miaka mitano wakajua kashfa zao ni siri hakuna anayeweza kuwachana ukweli, sasa Lisu kaamua kuwapa vidonge wanaweweseka vibaya
Lisu ni jemedari amewafungua macho wengi
 
Kwani huwezi leta maendeleo bila kuuwa, kuumiza watu? kuwasomesha watu namba?
 
Mkuu Kuna sehem nimekuelewa na Kuna sehem sijakuelewa japo niseme Kama u mwana ccm nikupongeze kidogo,
Nakili yapo yaliyo fanywa na jpm kwa Kodi za wananchi na pia tukili yapo mapungufu,hasa katika Uhuru haki na maendeleo ya watu,watu kiuchumi Hali ni mbaya Sana jpm alipoingia 2015 watu walikua na matumain makubwa nikiwemo mie binafsi na si kweli kwamba wote wanaolia njaa walikua wapiga dili ,na sio rushwa imeisha Wenda amejitahidi ila ukweli wa mungu huku chini watu wanaopiga pesa kwenye nafasi zao,hasa kutokana sheria kandamizi,
Washauri, na wamsifio jpm wamemharibia Sana ,ukweli ccm haikutakiwa kuwa na kampeni ngum ila ndo ivyo Sasa ,mzee mmechosha I wish ningekua mtu wake wa karibu ningemshauri ajitoe kwenye kugombea ili astaafu kwa eshima iliyotukuka
 
Sasa,mmeonaje bado Hana sere Sasa semeni Sera anazo hata spana anazo.
Hahhahhaha raha Sana Sera anazimwaga safi na spana anakupiga za kufa MTU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Meko hoiiiii
 

Mpaka sasa una maoni tofauti na haya?

Je, bado unaweza kusema tena jamaa huyu ni "hopeless!"

Usije jikuta wewe ndiye ukawa baseless & hopeless..!
 
Kwani huwezi leta maendeleo bila kuuwa, kuumiza watu? kuwasomesha watu namba?
Hivi kabisa kabisa mnadhani serikali kuu inaweza ikamuua au kumumiza mtu kienyeji hivyo?? Watu waende tu openly na kumimina risasi? Inamaana hawajajiuliza tu kwamba itaonekanaje kama tukimuua mtu kwa style hii? Kwa tvååriga yako serikali inauwezo mkubwa sana wa ki intelijinsia, ikiamua kumfanyizia mtu itafanya kwa umahiri kwa kupitia watu maalum. We unaona tu mtu anadondoka hapo. Sniper anakutungua umbali wa 2 km. Au unapata ajali ya ajabu.
Hawa wanaofanya hivyo ni hizi level za chini na wengine wanaumizana wenyewe kwa wenyewe. Mbona watu washajitokeza kwenye mitandao wakielzea jinsi walivyo tumwa kuchoma ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…