Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

Tatizo hakuna mbadala, hiyo ndio shida
 





Wanaishi kwa michango wakati pesa za ruzuku anakula mtu moja!
 
Wakati wa Mungu si wanadamu kwa kupigwa kwake sisi tunakombolewa.
Kama wasiojulikana Wana nguvu kuliko serikali na wanaingia Hadi sehemu nyeti na kufanya uhalifu bila kukamatwa na serikali ipo means haifai imeshindwa Linda watu wake
 
Nimekaa Sweden na nikabahatika kuongea na mzee mmoja 20 years ägo nikiwa kwenye shughuli zangu, anakuambia mika 100 iliyo pita Sweden ilikua maskini ajabu, hadi baadhi ya wa swedish wakaanza kukimbilia usa. Yeye alikua akiendesha traini na anakwambia hali ilivyokua ngumu na mshahara mdogo alikua hawezi kujinunulia nguo za baridi hassa zile chupi ndefu au suruali za baridi akawa anatumia magazeti na kuchomeka ndani ya nguo ili apate joto. Nyumbani kuna mke na watoto 3, ilikua ananunua soda mmoja au mbili wakigawana family nzima, lakini wao walifanya kazi kwa bidii na wakajenga nchi lengo lao ni kwa ajili ya kizazi kijacho ambao ni watoto na wajukuu, sasa ndio leo tunaiona Sweden nchi ya kitajiri. Kwahiyo walianzia hapo tulipo sisi
 
Wakati wa Mungu si wanadamu kwa kupigwa kwake sisi tunakombolewa.
Kama wasiojulikana Wana nguvu kuliko serikali na wanaingia Hadi sehemu nyeti na kufanya uhalifu bila kukamatwa na serikali ipo means haifai imeshindwa Linda watu wake
Hilo wala sikatai, serikali lazima iwajibike, lakini na pia wapewe ushirikiano,
 
Nchi sio chama nchi Ni katiba,thus hakuna nchi imewahi kufa kwa kubadili chama.
Lakini tunahitaji chama imara, ambacho kitaonyesha uhuru, demokrasi na ushirikiano ndani yake kwanza
 
Wengi hapa hawawezi kukuelewa, wapo hapa kufanya kazi moja kutetea ukoo wa Mlevi wa konyagi.
 
80s-90s hata viatu walikua hawavai,wanauza mayai Slussen na gamla stan,X wangu alikua kwenye mkumbo wa kutafuta life UK then Israel✊
 
80s-90s hata viatu walikua hawavai,wanauza mayai Slussen na gamla stan,X wangu alikua kwenye mkumbo wa kutafuta life UK then Israel✊
Watanzania wengi wanataka kua na maisha mazuri lakini hawajui maisha mazuri yanapatikanaje, wanadhani kila kitu kinajileta tu, hata gharama ya kuendesha afya hawa jui inapatikana vipi, wandhani kodi inayokusanywa ndio italipia kila kitu. Hawajui utalii unahitaji kitugani ili tuweze kuwavutia watalii, wandhani mtalii atajileta tu maana hamna nchi zingine zinazowavutia watalii.
Inabidi tume smart ya kuwasikiliza wanasia na tuweke question mark kwa kila kauli na ahadi wanazotoa.
 
Tusema

Tumekusoma. Napita
 
Funga bakuli lako..wewe ni nina utoe onyo kwa Tundu Lissu
 
Hizo risasi mnazo imba kila siku si muende mkatoe ushahidi wenu huko mahkamani, mnaboa sana, inawezekana hizo risasi mnapigana wenyewe kwa wenyewe
Chato mmemchomea mgombea ubunge nyumba yake, Lissu mlimpiga risasi, leo anawachezesha singeli, arusha mlichoma ofisi ya chadema, mbeya, tunduma, singida mkaua kiongozi wa chadema, mmemteka ben saa nane, azory gwanda mkamuua, alphonce mawazo mkamfanya nyama buchani, mbowe mkamvamia mkampiga usiku wa manane, nawaambieni nyie kizazi cha ibili ipo siku yenu mtalia na kusaga meno! Nyongo yangu juu yenu tutawafundisha adabu tunasubiri muda ufike mgome kukabidhi nchi tutawala nyama
 
vip maendeleo kule jamana printers
 
Kwahiyo umeshajitayarisha kabisa kuendelea kumwaga damu??? Hawa wanasiass wenu wananichezea akili kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe tena bahati nzuri au mbaya wenu hao wachedema wamejitokeza na kutoa ushahidi kwamba wamechoma wenyewe ofisi..
Na mbona husemi hao wa com walioumizwa.
Kwa mawazo yako hayo ya kuendeleza kumwaga damu hamtakuja kufika mahali popote, NOPP. sio hapa TZ. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…