Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hawaombi hivyo wenzio [emoji16]I love you mamii [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Najua tundu lissu kakuacha, nipe nafasi ya jimbo basi tukananiliiu, kule nanilliu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
π π π π
Oooh! Kwa heshima na taadhima niliyo nayo juu yako na namna gani tunavyoheshimiana Mimi na weweye34nbe sipendi mazoea
Shukran mkuu ππππOooh! Kwa heshima na taadhima niliyo nayo juu yako na namna gani tunavyoheshimiana Mimi na wewe
Naomba nitumie mwaya huu/fursa hii thabiti kumuombea radhi kijana mwenzangu aliekukosea hakika nitafurahi mno utakapo fungua moyo wako [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Anachefua balaaOooh! Kwa heshima na taadhima niliyo nayo juu yako na namna gani tunavyoheshimiana Mimi na wewe
Naomba nitumie mwaya huu/fursa hii thabiti kumuombea radhi kijana mwenzangu aliekukosea hakika nitafurahi mno utakapo fungua moyo wako [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuchefuane, basi ila I'm sorry sirudii tenaAnachefua balaa
Kijana amekili makosa na makosa yake kayatambuaAnachefua balaa
Hakika nafarijika mno NALIA NGWENA na sura langu hili Kama nazomea lakini Kuna totozi kutoka mitaa ya washua Tena pisi Kali kweli kweli haziogopi kunifata PM.
Hicho kitendo kimenifariji sana tena sana hakika aliyesema "wanawake wanahuruma " Nampa big up kwa asilimia Mia. Haiwezekani na weusi wangu huu mtoto mzuri Kama Cute Wife anakuja inbox kunijulia hali? Huo ni mfano tu nimetolea kwa huyo cute wife.
Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.
Nawasilisha pongezi zangu hizo za dhati kwa wadada wa JamiiForums mnaokuja inbox kwangu na msiokuja pia.
Use me as a dislike button [emoji23]
Ni screenshot uhakikishe ninacho zungumza.Upuu
Hakuna anae kufata labda lemgo la Uzi Ni kutafuta attention
Ovyo kabisa
Hivi una umri gani kwanza?Tuchefuane, basi ila I'm sorry sirudii tena
37 baby β€οΈππHivi una umri gani kwanza?
Huamini sweety, ake tukapendane basi,π€¨