Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Last edited by a moderator:
Nimecheka sana jamani mi sitaki nichangie hapa mtaniwia radhi sana.
 
Baba V, ni lazima ukaguzi ufanywe na Asprin tu
 
Hahahahahahaaha
Nashangaa, afu Asprin anataka anikague watoto wakiwa wamelala me nikagoma..!!
Achana nae atakufia bure coz hayawezi mapigo ya Digitali huyu mzee.
Siku tumemuachia ukaguzi wa wazee wenzake sisi vijana ndio tunashughulika na ninyi totoz wa digitali a.k.a 21st Century
 
Baba V, ni lazima ukaguzi ufanywe na Asprin tu

Asprin ndo huyo katoroka kwa sasa TEMPOLALILE ntakuwa naufanya mimi mwenyewe wakati nachakata mchakato wa kurasmisha kikosi kazi chenye rasilimali watu ya kutosha kufanya upembuzi yakinifu wa hii makitu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…