Natoa wito kwa hawa kurudi nyumbani haraka.......!!!

Duh! Haya nasubiri kukaguliwa Baba V

Asprin ndo huyo katoroka kwa sasa TEMPOLALILE ntakuwa naufanya mimi mwenyewe wakati nachakata mchakato wa kurasmisha kikosi kazi chenye rasilimali watu ya kutosha kufanya upembuzi yakinifu wa hii makitu.
 
Last edited by a moderator:

Hao watajwa si wanandoa humu ndani?? Kwanini usiwaulize waume/wake zao??

BADILI TABIA, atatupa taarifa ya mumewe Asprin pamoja na mke mwenzie cacico....

Kaizer atatupa taarifa ya mkewe gfsonwin.....

Paloma atatupa taarifa ya mumewe Vin Diesel

Kuhusu Ruhazwe JR tumuulize mama yake kwa jina Mamndenyi..

Asante Mwenyekiti!!
 
Dah Nimekuja mbio mbio nikihofu na mie nitatajwa kwenye hii list ya Baba V, kumbe mimi nipo sana tu

copy Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

charminglady......nilishaachana na Vin Diesel kitaaaaaaaaaaambo, maana alikuwa anataka kutengeneza saccos na mie saccos siziwezi! Mimi ni premier customer banaaa!
 
Last edited by a moderator:
halafu shemeji cacico mtindo wako wa kwenda kuchota maji na kanga moja siupendi...unatafutwa huku eti Asprin haonekani ukaguzi umesimama
nimegundua ukaguzi wake unapunguza nguvu za fivesome yetu! ameanza fellowship jana na jando, ili kujinoa zaidi! nimekumissiapo shem wangu wa ukweeeeeee! ukimuona hubby wangu Asprin mwambie nampenda kuliko siku yetu ya harusi.
 
Last edited by a moderator:
Utaweza weye, mbona unaomba kazi nzito hailingani na qualification yako

''1 Samweli 7:12 - Eben-ezeri - Hata sasa BWANA ametusaidia''

- sijivunii, ila kwa hiyo sifa hapo najua nitaweza!!!
 
nimegundua ukaguzi wake unapunguza nguvu za fivesome yetu! ameanza fellowship jana na jando, ili kujinoa zaidi! nimekumissiapo shem wangu wa ukweeeeeee! ukimuona hubby wangu Asprin mwambie nampenda kuliko siku yetu ya harusi.

mi nimeona hapo tuu shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…