Uliniambia wote umeshawaacha, inakuwaje hapa? Unajua nina wivu mie
Yaani hapa hasira zimenipanda, sikubali kama ni hivyo nikae pembeni tu
Homy tuna nini mimi na wewe? Kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Ayaaaaa.... ishakula kwangu naona. Hivi wajua we ukinuna baioloji yangu inasizi?Yaani tuekupa lift kwenye Vogi letu sasa unataka uanze kukata kona?
Labda ukate kiuno, na hivi mie ndio niko mbele utajibeba.
Sosi -mimi mwenyewe
Afu Asprini, nimenuna
Nimesema sikubali, ASPRIN hebu kuja hapa unyooshe maelezo, naona umenyamaza tu wkt mwenzio moyo unaniuma
Siji tena mie labda hasira zangu zikipungua
Ayaaaaa.... ishakula kwangu naona. Hivi wajua we ukinuna baioloji yangu inasizi?
Hebu cheka kidogo basi.
Orayt hebu come zis wei nami nipate ku-cumSasa ndio tabidi baoliji inyanyuke japo itulize hizi hasira
nakuangalia tu hapa! We haya!hommie shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
sabal kheri bibie, naona una pupa kama mkunga! Tulizana basi uyajue mazingira kwanza!nitapigana humu ohooo!
na we utasutwa subuhiiiiiiii kabla mnadi swala hajaamka! Aliyekwambia tulitengana nani?? Watu tukila bata zetu mnaanza kuchunguza! Mshindweeeeeeeee jamani!inawezekana walitengana tu lakini huwa hamna kuachana...!!
shemeji nakuona tu unavyojitia upambe!you have seen oooooh!
mi nimeshakaguliwa nifute ktk list yako.
Yaani tuekupa lift kwenye Vogi letu sasa unataka uanze kukata kona?
Labda ukate kiuno, na hivi mie ndio niko mbele utajibeba.
Sosi -mimi mwenyewe
Afu Asprini, nimenuna
njoo tu..uwahi kabla ya saa moja si unajua giza likiingia kionea mbali nacho kinanipa tabu..
Ukaguzi wangu hauhitaji macho...!!!