Dah..!! Nishauza mazao na ninavibunda vya wekundu kwenye mfuko wa Jacket. Nakwenda dar kununua suit na 4angle za kutafunia bata nikirudi bara, pia natakaninunue radio na baisikeli huyooooo..... narudi bara. Naimba mnitakie safari njema na mniombee nisiibiwe begi la nguo nikifika ubungo teminal.
Madame B mgeni umemuona?
Hahaha
umenichekesha na kuna mbwiga alitaka kuniharibia wakati wangu.
Sasa ukija mjini ufikie kwetu basi, ila ukikaa zaidi ya 3 nights unapewa bili ya umeme.
Huyo Madame B, kama kwake kuna video naomba anipokee ubungo. Ntampa na pesa zote anitunzie
mtajwa ni jamvi la wageni?
Hii hali ikiendelea mpaka mwanzoni mwa mwezi ujao, itabidi nijitoe kwenye hili jukwaa. Watoto wanaotumia visimu vya elfu 25 wamezidi humu.
Hebu fafanua kauli yako Mtoto halali na hela.
Ina maana mie ningemuita labda watu8 au King'asti waje kumkaribisha mgeni ina maana hao ni vicheche?
Acha mawazo hayo wewe, unawaza Uchi tu muda wote.
We vipi.
Minawewe nani hana akili? Minatumia pesa ki-analogia na nataka nione miti inavyorudi nyuma live bila chenga. Mtoto laiiini, ndomana wapenda digitaly, kuletewa, kupeoewa, kupakuliwa and ect.
Naomba nije nipulize chakwako mkuu
ushatoa ufafanuzi uliofikiria.Hebu fafanua kauli yako Mtoto halali na hela.Ina maana mie ningemuita labda watu8 au King'asti waje kumkaribisha mgeni ina maana hao ni vicheche?Acha mawazo hayo wewe, unawaza Uchi tu muda wote.We vipi.