Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

naomba nikuandalie zana coz ninazo nyingi sana, kama bisbis, sururu, sime, spana koleo na hata zana za kulimia pia ninazo we niambie tu nikuletee ipi kati ya hizo?

umezitoa wapi ZZK au UFI?
 
kwahiyo akwisa kighane kyangu leno?

Leno pafinye embombo singolen'ye loli kelabho po apikujha kanunu, loli ujho Himidini ghwako angummbikila aka mbebha afwe, ughwe lwake
 
Last edited by a moderator:
Kuogeshwa hadu ung'ae inategemea no wallet yako we ushiboy

tena mwambie kilugha cha dar si kuogeshwa ni KUSINGWA.
akisingwa taka,vumbi,magaga,zile taka katikati ya ikweta zote zinatoka,ngozi ngumu kama ya mamba itatoka .
Tatizo wanaume wa bara ukimsinga atatoka nje kapendeza atakuona hufai ataenda kwa vinuka mkojo.
Dawa huyu ni kumuacha anunukie hayohayo mafuta yake ya pamba cjui samli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…