Hahahahaha, bora umesema weye, ila nafikiri ulitaka kusema Mulugo
hebu niambie umeoa lini bila ya kamati kuwa na taarifa?
^^
Lady doctor
Hebu nisaidie,,watu humu wanaongea kiebrania hata sielewi kinachoendelea...hebu ntafsirie maneno ya Baba V na Queen kan
^^
umeingia cha kike best yaani Queen Kan anavyo kunanga na kukunyambua kwa mwanamme mwenzio daaah hadi huruma
hivi umemkosea nini Queen Kan kwani yeye ni Mungu mpaka akukosoe eti wewe mfupi mguu wako wa3 hauna nguvu.......... Hadi nalia ujue imeniuma sana Himidini na mengine mengi tu wameongea na huyo Baba V nitakutafsiria kwa PM
^^
Ayaaa!!! Ya yani yani ngoja ngoja,,watanieleza kwa nini jiwe halina mzizi lakini linakua.
Asante Lady doctor
^^