Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Mpelekee mtoto wake Zawadi utapiga single mothers wote
Huyu mama ntilie nikitaka kulala nae naweza sema sitaki kumuumiza tena. maana kuna tabia bado hazinifai, nikilala nae najua nitamtelekeza tu.

Sipendi kudanganya kwenye mahusiano niko hivo.
 
leo ndo nimeelewa kwanini ulisemaga ukiomba penzi hupewi😊,,, anyway jaribu kutafuta wasiokua masingo maza
Anakuwa ananuka dawa na vidonda vya wagonjwa ndio maana hapewi utelezi.... šŸ˜šŸ˜ŠšŸ˜„šŸ˜„
 
cf6d36ae65583dad290f10aa09eb5a96_(1).jpg
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ shangazi mambo
Hahahahahahaaa! Acha uboya nitakutusi sasa...Basi unajiona kidume kumbe unakula mizogašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ tafuta chuma piru wewe achana na second hand fala sana wewe jamaašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Kuna type ya kina mimi pia ambao watoto wetu ni marafuku kuhusishwa na mahusiano yetu

Haitakaa isikike kuwa naomba pesa ya hospital mtoto wangu anaumwa, naomba niongezee ada ya mtoto wala naomba birthday cake ya dogo wala kusikia nakuambia dogo anakusalimia

Wewe kama una upendo na huruma na mimi na watoto wangu niwezeshe mimi ,watoto wangu watanufaika kupitia wewe baada ya wewe kuniwezesha mimi na si kuhusiana na madogo wangu direct
Mmmh, nini yofauti hapa? Si n sawa tu na kupima UTI kupitia mkojo
 
Shida yenu mtu akiongelea mahusiano yake mawili au matatu basi mnajua ndio hayo tu.

Wanawake ni wengi, wazuri ni wengi lakini wenye akili ni wachache.

I find a woman with value
for sure nina masharti magumu kwa mabinti wengi, but huwa sishindwi kuwa na mahusiano.
Hadi nashobokewa na watoto wa kike wengi tu lakini nikisema humu hakuna atakae Amini na nitaonekana mpenda sifa tu.

Akili Mtu Wangu.
vichwa panzi hamuezi elewa.
Kwahio umeona hao single mother ndio women with value? Unadharirisha neno "value" na unawaita watu vichwa panzi kwa sababu wamekuonya juu ya single mothers. Hiiiiiii (kwa sauti ya mwendzake)
 
Back
Top Bottom