Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Ukikataliwa na
Mnyaturu ,mrangi ,muiraq ,mhaya, mnyantuzu , demu anayeishi Dodoma awe kabila lolote

Pamoja na single mother jitafakari sana
Sio kwamba wamenikataa, ni kwamba wameogopa kutelekezwa tena. 🀣🀣🀣
Kuna sheria zangu ziliwashinda tu
 
Habari, ni kweli wanaume huwa wanawatelekeza ila kama watawahi kujirudi na kutaka kujenga familia ni bora mkubali kurudiana kwa maslahi mengi yakiwemo ya mtoto, asikudanganye mtu usijidai nime move on, hakuna mwanaume wa kulea mtoto wa mtu wote ni wanafiki ukiona mwanaume anamlea mwanao ujue hakai naye we kwako ye kwake ishi nae ndio utajua hujui, dada yangu alikuktaa alikufanyaje siku akirudi kubali tu usijitese wanaume sisi ni wanafiki upendo kwa mtoto wa kambo ni ukiwa uishi nae
 
Habari, ni kweli wanaume huwa wanawatelekeza ila kama watawahi kujirudi na kutaka kujenga familia ni bora mkubali kurudiana kwa maslahi mengi yakiwemo ya mtoto, asikudanganye mtu usijidai nime move on,hakuna mwanaume wa kulea mtoto wa mtu wote ni wanafki ukiona mwanaume anamlea mwanao ujue akai nae we kwako ye kwake ishi nae ndio utajua hujui, dada anagu alikuktaa alikufanyaje siku akirudi kubali tu usijitese wanaume sisi ni wanafki upendo kwa mtoto wa kambo ni ukiwa uishi nae
🀣🀣🀣🀣🀣 Dah soko la single maza naona linazidi kushuka tuu.....hawa sasa naona watafute wanaume wakuwagegeda tuu kupunguza nyege zao lakini sio kuolewa 🀣🀣🀣🀣
To yeye soma hiyoooo
 
Kuna type ya kina mimi pia ambao watoto wetu ni marafuku kuhusishwa na mahusiano yetu

Haitakaa isikike kuwa naomba pesa ya hospital mtoto wangu anaumwa, naomba niongezee ada ya mtoto wala naomba birthday cake ya dogo wala kusikia nakuambia dogo anakusalimia

Wewe kama una upendo na huruma na mimi na watoto wangu niwezeshe mimi ,watoto wangu watanufaika kupitia wewe baada ya wewe kuniwezesha mimi na si kuhusiana na madogo wangu direct
NIMEKUELEWA SANA
 
Back
Top Bottom