Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Ni wazi kuwa una mkosi,yaani unakataliwa hata na hao viumbe🥲🥲🥲
 
Niliwahi kuandika uzi hapa kwamba nimelizwa na mapenz, aliyeniliza alikua single mother..

Nilimpenda na nikatamani kumbadilisha vitu vichache ili awe wangu wa siku zote lakini nilishindwa kwa sababu hata yeye hakuwa tayari.

Kiukweli mapenz yalikua moto lakini niligundua hakua tayari kuwa na mimi kwa sababu ya kutokujiamini tu, kwani kaisha zalishwa.

Mapenz yalikua moto haswa, tulikua tunafanya kazi office moja (Zahanati ya kijiji)
Kitu cha kwanza alikua ananimaliza ni she is a good kisser, Very romantic kiss ambayo nilishindwa kukaa hata masaa mawili bila kutamani kumkiss.

Mwanzo nilikua nikipata mgonjwa usiku nikawa napambana peke yangu simuiti kazini usiku, lengo sitaki kumsumbua. Lakini alikuja kuniuliza why hunipi taarifa kuwa kuna mgonjwa wa kulazwa usiku ? in short nilikesha na wagonjwa kama nurse kumsaidia kazi japo mimi nilikua ndie mganga wa kituo.

Nakumbuka nikaanza kumuita tukawa tunalala wote kitanda kimoja tukiwa tumekumbatiana, huku tuki time muda wa kutoa Drip kwa wagonjwa na Dawa zingine.
Nilimpenda lakin hakuwa tayari kabisa kuwa mke wangu, alihisi hana vigezo vya kuwa mke wangu japo mimi nilimpenda sana.
Tulifanya sex mala moja na hakutaka tena kufanya hivo na nakumbuka hata siku tunasex hakua huru kunipa penzi lake lote na nilijua hofu yake kubwa hakutaka kuzama kihisia zaidi na mimi.

Sasa Week jana nimekutana na Ex wangu mwingine ambae tulishindwana sikuwahi kusex nae lakini na yeye tulitoana out na kushow love sana hug na Kiss za kutosha lakini chaajabu alikataa kutoa mzigo, nilipoona kawa mbishi sana mimi nikampotezea.

Yani aliingia hadi geto na mzigo hakutoa, basi kwenye kulalamika na kutokujua sababu zake kwanini hataki sex na mm tuliachana, nilimtafuta baadae akadai kapata mtu mwingine. kipindi hicho yeye alikua mwanachuo ndipo nikafuta namba zake za simu.

sasa nimekutana nae akiwa kamaliza chuo, kazi yake ni Mama ntilie. ndipo kunifungukia kuwa ana mtoto, sasa ndio nikagundua mwanzo alikataa kuingia kwenye dimbwa la mapenz na mm kisa alikua tayar kazalishwa.

Sasa kitendo hicho cha yeye kuwa single mother kimemfanya kukwepa sex na wanaume hasa kwanza akiona atajikuta kapenda tena kama mwanzo.

Maeneo ambayo nimekutana nae sitokua mkaaji sana ni mpitaji tu, nitarudi kwenye majukumu yangu mkoa mwingine.
Mazungumzo yangu na yake alinipa story ya kisa kimoja jinsi mwanaume alivyoanza maisha na mwanamke ambae alikua rafk yaka na baadae kumtelekeza.

sasa hili janga linakwepeka Vipi ??? Hilo ni swali, Lakini yote ni Kwamba Mwanamke mwenye Thamani ndogo / sifa chache or Woman with limited Value ni rahis kuachika.
Mimi kwa kulijua hilo uwa natoa shule kidogo kwa mpenz wangu vitu vya kubadilika lakini hawanielewi na hiyo inakua ni sababu ya wao kuzidi kuona sina mapenz ya dhati lakini anasahau lengo la mimi kumkalipia au kumlekebisha jambo fulani nakua na malengo mazuri.

Maisha ni shule ukigoma kusoma na kuwa bize na vitu visivyo jenga huwezi kuendelea kwa lolote.

sasa hawa ma single mother wangu wote wawili kazi zao kwa sasa kwa wanaume ni uchunaji lakini hawaoni kabisa kuna kuolewa wala kupata mume bora dunia hii, ukitaka akuone wewe ni mume bora basi uwe zezeta kwanza akupime kwa upole na uzezeta wa mapenz ndipo akubali kuishi na wewe kitu ambacho akiwezekani mwanamke kuwa juu ya mwanamume.

Nimetambua mambo machache...

Single mother wengi wanaogopa sana mahusiano.
Hawajui kumpima mme anae faa na wanadai kwamba asilimia 100 wanaume ni watu wa kutokuaminika hata kidogo.

Swali nini kifanyike kupata Mume kwa Single Mother na ndoa kusimama. ????
Tembeza mashine vizuri kijana,hajaona kipya kwako Ndio mana kasepa
 
Tatizo tuna nyege nyingi mno tutakuua bure tupate kesi🤒
Ahh! Hahaaa! Hujataka kuwa na binti tena, Ni dhahiri mmeshikiliwa na uelekeo wa sasa unapokwenda! Bado hujafahamu juu ya kufungua moyo!

Utajiuliza tena: Je ni yupi haswa atakaye paswa kupendwa na wewe!
 
Huyu mama ntilie nikitaka kulala nae naweza sema sitaki kumuumiza tena. maana kuna tabia bado hazinifai, nikilala nae najua nitamtelekeza tu.

Sipendi kudanganya kwenye mahusiano niko hivo.
Sasa kumbe shida sio hawakutaki ni wewe hautaki kupiga show, sasa unataka wakutake vipi mbona na wewe haueleweki unataka nini we jamaa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kuandika uzi hapa kwamba nimelizwa na mapenz, aliyeniliza alikua single mother.

Nilimpenda na nikatamani kumbadilisha vitu vichache ili awe wangu wa siku zote lakini nilishindwa kwa sababu hata yeye hakuwa tayari.

Kiukweli mapenz yalikua moto lakini niligundua hakua tayari kuwa na mimi kwa sababu ya kutokujiamini tu, kwani kaisha zalishwa.

Mapenz yalikua moto haswa, tulikua tunafanya kazi office moja (Zahanati ya kijiji). Kitu cha kwanza alikua ananimaliza ni she is a good kisser, Very romantic kiss ambayo nilishindwa kukaa hata masaa mawili bila kutamani kumkiss.

Mwanzo nilikua nikipata mgonjwa usiku nikawa napambana peke yangu simuiti kazini usiku, lengo sitaki kumsumbua. Lakini alikuja kuniuliza why hunipi taarifa kuwa kuna mgonjwa wa kulazwa usiku? In short nilikesha na wagonjwa kama nurse kumsaidia kazi japo mimi nilikua ndie mganga wa kituo.

Nakumbuka nikaanza kumuita tukawa tunalala wote kitanda kimoja tukiwa tumekumbatiana, huku tuki time muda wa kutoa Drip kwa wagonjwa na Dawa zingine.

Nilimpenda lakin hakuwa tayari kabisa kuwa mke wangu, alihisi hana vigezo vya kuwa mke wangu japo mimi nilimpenda sana.

Tulifanya sex mala moja na hakutaka tena kufanya hivo na nakumbuka hata siku tunasex hakua huru kunipa penzi lake lote na nilijua hofu yake kubwa hakutaka kuzama kihisia zaidi na mimi.

Sasa Week jana nimekutana na Ex wangu mwingine ambae tulishindwana sikuwahi kusex nae lakini na yeye tulitoana out na kushow love sana hug na Kiss za kutosha lakini chaajabu alikataa kutoa mzigo, nilipoona kawa mbishi sana mimi nikampotezea.

Yani aliingia hadi geto na mzigo hakutoa, basi kwenye kulalamika na kutokujua sababu zake kwanini hataki sex na mm tuliachana, nilimtafuta baadae akadai kapata mtu mwingine. kipindi hicho yeye alikua mwanachuo ndipo nikafuta namba zake za simu.

sasa nimekutana nae akiwa kamaliza chuo, kazi yake ni Mama ntilie. ndipo kunifungukia kuwa ana mtoto, sasa ndio nikagundua mwanzo alikataa kuingia kwenye dimbwa la mapenz na mm kisa alikua tayar kazalishwa.

Sasa kitendo hicho cha yeye kuwa single mother kimemfanya kukwepa sex na wanaume hasa kwanza akiona atajikuta kapenda tena kama mwanzo.

Maeneo ambayo nimekutana nae sitokua mkaaji sana ni mpitaji tu, nitarudi kwenye majukumu yangu mkoa mwingine.

Mazungumzo yangu na yake alinipa story ya kisa kimoja jinsi mwanaume alivyoanza maisha na mwanamke ambae alikua rafk yaka na baadae kumtelekeza.

sasa hili janga linakwepeka Vipi? Hilo ni swali, Lakini yote ni Kwamba Mwanamke mwenye Thamani ndogo / sifa chache or Woman with limited Value ni rahis kuachika.

Mimi kwa kulijua hilo uwa natoa shule kidogo kwa mpenz wangu vitu vya kubadilika lakini hawanielewi na hiyo inakua ni sababu ya wao kuzidi kuona sina mapenz ya dhati lakini anasahau lengo la mimi kumkalipia au kumlekebisha jambo fulani nakua na malengo mazuri.

Maisha ni shule ukigoma kusoma na kuwa bize na vitu visivyo jenga huwezi kuendelea kwa lolote.

sasa hawa ma single mother wangu wote wawili kazi zao kwa sasa kwa wanaume ni uchunaji lakini hawaoni kabisa kuna kuolewa wala kupata mume bora dunia hii, ukitaka akuone wewe ni mume bora basi uwe zezeta kwanza akupime kwa upole na uzezeta wa mapenz ndipo akubali kuishi na wewe kitu ambacho akiwezekani mwanamke kuwa juu ya mwanamume.

Nimetambua mambo machache...

Single mother wengi wanaogopa sana mahusiano. Hawajui kumpima mme anae faa na wanadai kwamba asilimia 100 wanaume ni watu wa kutokuaminika hata kidogo.

Swali nini kifanyike kupata Mume kwa Single Mother na ndoa kusimama?

she is a good kisser, Very romantic kiss ambayo nilishindwa kukaa hata masaa mawili bila kutamani kumkiss.

Mapenzi yatakuua Dr
 
Shida yenu mtu akiongelea mahusiano yake mawili au matatu basi mnajua ndio hayo tu.

Wanawake ni wengi, wazuri ni wengi lakini wenye akili ni wachache.

I find a woman with value
for sure nina masharti magumu kwa mabinti wengi, but huwa sishindwi kuwa na mahusiano.
Hadi nashobokewa na watoto wa kike wengi tu lakini nikisema humu hakuna atakae Amini na nitaonekana mpenda sifa tu.

Akili Mtu Wangu.
vichwa panzi hamuezi elewa.
jaribu kulegeza hayo masharti yako magumu,,pengine hadi hao wenye akili unaowataka wanakimbia hayo masharti magumu
 
jaribu kulegeza hayo masharti yako magumu,,pengine hadi hao wenye akili unaowataka wanakimbia hayo masharti magumu
Yeye n baba ushauri Kuna Mambo hupaswi kuyaingilia kushauri Kama unataka mahusiano. Wanawake wengi hawapendi uwaambie ukweli unaohusiana na mahusiano yao hasa hao singeli mazas
 
Back
Top Bottom