Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

Ni wazi kuwa una mkosi,yaani unakataliwa hata na hao viumbe🥲🥲🥲
Nikileta uzi wa mademu wanaotamani wawe wake zangu mtanielewa ? 😃😃🤣
 
Ha ha ha! Dr. Achana na mapenzi sana yatakuja kuku dissapoint, huko tumepita Kaka na hakuna maana
Kuna binadamu hataki Sex dunia hii ?
but kuandika huu uzi aimanishi sijawai kuwa na mahusiano yenye sura nyingine tofauti na hii.
 
Mpende tuu mwanae na mpe mpe vizawadi mtoto ,

Wewe ukimuona single maza yupo na mwanae , cheza na mwanae mrushe rushe juu, mbebe mwanae, mpe vizawadi zawadi mwanae, msifie mtoto wake, na umfute fute makamasi . Yani mpende tuu mtoto wake .

Hakika utatunukiwa mpaka utakimbia mwenyewe
 
Yeye n baba ushauri Kuna Mambo hupaswi kuyaingilia kushauri Kama unataka mahusiano. Wanawake wengi hawapendi uwaambie ukweli unaohusiana na mahusiano yao hasa hao singeli mazas
Huo ndio ukweli sema Wachache watakuelewa.
Lengo kama ni ngono wanawake wa kujiuza ni wengi sana, wauza bia ndio usiseme, bia 2 tu unachapa usku kucha.

Lakini unapotaka kuwa na mahusiano na Mwanamke anaejielewa ndio kazi ngumu kinoma.
Ukimrekebisha mwanamke tayari unaharibu mahusiano.

Tuendelee kuwadanganya tu mkuu.
 
Ukianza kumhubiria abadilike aache kitu fulan basi jua uwezekano wa yeye kuwa na wewe ni mdogo Sana. Mtu unaemuandaa kuwa mke hatendewi sawa na wa kuhit.
 
Ukikataliwa na
Mnyaturu ,mrangi ,muiraq ,mhaya, mnyantuzu , demu anayeishi Dodoma awe kabila lolote

Pamoja na single mother jitafakari sana
 
Back
Top Bottom