Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
We ni bibi kumbe? Haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe kisa kimoja mkuu 😂😂Miaka ya 2015 nikiwa kijana mdogo ndio ilikuwa michezo yangu. Ilikuwa mdada/mmama akivaa kihasara hasara naruka nae bila kuwaza umri wake.
Vyote umri uzidi na mahaba awe nayoUnaangalia kumzidi umri au mahaba?
Sio chai ni kweli tuna mtaka.
🤣🤣🤣🤣Sio chai ni kweli tuna mtaka.
Ndio hivyo mkuu sio chai kabisa.🤣🤣🤣🤣
hatari sana....Ndio hivyo mkuu sio chai kabisa.
Mnohatari sana....
hii nchi yaan muda wote ni mapenzi tu ,maendeleo aaaah
Acha tufanye mapenzi mkuu huwenda tukazaa watu wanaotaka maendeleo.hii nchi yaan muda wote ni mapenzi tu ,maendeleo aaaah
Sio kwel namjua huyu.Mwandiko wa kiume.
mtoto wa nyoka ni nyoka 🙂🙂Acha tufanye mapenzi mkuu huwenda tukazaa watu wanaotaka maendeleo.
Basi nchi ni ya manyoka tu maendeleo yetu ni kuzagamuana 😆😆mtoto wa nyoka ni nyoka 🙂🙂
sio poa mganga aliyeturoga kafariki kwahiyo hakuna namna hapa tutatoboaBasi nchi ni ya manyoka tu maendeleo yetu ni kuzagamuana 😆😆