Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

aisee,
kama wanaweza tembea na mama zao waendelee kuja
Na wewe unajikuza sana, huachi?

Wanaume wengine ukijikuza ndiyo wanakupapatikia ili wakipate unachokitetea ujue!

Nilisoma documentary flani ikielezea mikasa ya mapenzi huko West Africa, kuna vinyanya retired toka Ulaya, vinakuja vocation Africa kusaka vijana ili vishughulikiwe kwa pesa ndefu za penheni.

Niliuliza maswali kuhusu hicho kisa nikajibiwa kuwa vijana wakivikunja, sisi tunaita kunyanyasa kingono, vyenyewe nd'ovinapata raha.

Sa'tuseme wee ni kikongwe kiasi gani kushindwa kuhimili mapigo ya vijana wabichi?

Na kama bado unavutia nd'okabisaa, tongozeka tu na wala usitukane vijana maana wanakutaka kweli wala hawakutanii.
 
Kwa nn uliwapa namba
 
Wewe ni wa mwaka gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…