Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Naona mtoa mada kaamua kuonesha UBABE kwenye Uzi kwa kuongea kingereza[emoji2]
Amenikumbusha enzi za hizo ofisi flani wabongo ndo walikua waongeaji mno,
Mwenyekiti siku akitaka kupunguza idadi ya maswali kikao kiwe kifupi zaidi,
Anaamua kuendesha kikao kwa kingereza[emoji2]
Leo naona kakosa bundle la Instagram kaona aje kutuzingia na kingereza chake cha kuombea maji pumbafuuuu