Natongozwa sana na wadada Instagram

Natongozwa sana na wadada Instagram

Naona mtoa mada kaamua kuonesha UBABE kwenye Uzi kwa kuongea kingereza[emoji2]

Amenikumbusha enzi za hizo ofisi flani wabongo ndo walikua waongeaji mno,

Mwenyekiti siku akitaka kupunguza idadi ya maswali kikao kiwe kifupi zaidi,

Anaamua kuendesha kikao kwa kingereza[emoji2]

Leo naona kakosa bundle la Instagram kaona aje kutuzingia na kingereza chake cha kuombea maji pumbafuuuu
 
Leo naona kakosa bundle la Instagram kaona aje kutuzingia na kingereza chake cha kuombea maji pumbafuuuu
Kuleta vingereza mbuzi kwenye mijadala ya kiswahili Ni dalili za kufilisika hoja na kutokujiamini[emoji2]
 
Kavurugwa
Vingereza vinatoka wapi tena bwashee, au hujiamini?
emoji2.png

Naona mtoa mada kaamua kuonesha UBABE kwenye Uzi kwa kuongea kingereza[emoji2]

Amenikumbusha enzi za hizo ofisi flani wabongo ndo walikua waongeaji mno,

Mwenyekiti siku akitaka kupunguza idadi ya maswali kikao kiwe kifupi zaidi,

Anaamua kuendesha kikao kwa kingereza[emoji2]
Kavurugwa huyu, wananzengo wamempa za uso kule siasani, hasira Kaja kutumalizia huku.
Afu kwani mama kasema atatoa mkeka wa madc au maded peke Yao?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]relax bruh
Huku sio Instagram na kingereza chako cha kipuuzi
What the meaning of u u u
Pathetic!
Naona una-buy time huku JamiiForums
I think bundle ya Instagram limekushinda
Mpuuzi mmoja wewe
Nnachoona Itakua uko Instagram anadatisha watoto wa sekondari,

Sasa
Wanafunz wanamfata dm akawape point za KWENYE debate shuleni.

Yeye anawaza ngono TU.

PATHETIC KABISA MTOA MADA[emoji2]
 
Halafu anakuja na maneno eti u u u eti sijui cave
Usikute hajala leo tunabishana nae bure
Ni taka taka kabisa,
Angekua anajitambua Uzi wake nao angeuleta kwa kingereza.[emoji4]
 
Nnachoona Itakua uko Instagram anadatisha watoto wa sekondari,

Sasa
Wanafunz wanamfata dm akawape point za KWENYE debate shuleni.

Yeye anawaza ngono TU.

PATHETIC KABISA MTOA MADA[emoji2]

[emoji38][emoji38][emoji38]msamehe bas mkuu

Hapa ametupumzisha maana naona ameenda kusaka maneno mapya aje kutusumbua tena

Ngoja aje utaona tutakavyochambwa wima wima na maneno “go to wash ur cave…. finger sijui what what[emoji38]
 
Back
Top Bottom