Naona umekubali kuwa Mwamposa anatumiwa na Mungu kwa watu wakeAu pengine nimuongezee swali la nyongeza...ndugu Zingzingzing
Kuna ndugu yake, rafiki, jirani au anaemfahamu aliyeponywa?
Kwa ufupi, kanuni ya uponyaji ni imani ya mtu kwa nguvu ya uponyaji (Mungu) sio Mwamposa. Huyu anachofanya ni kuamsha imani.
Ulitaka atoke wapi ili umuamini ni Nabii wa Mungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nabii anatokea mbeya ila wakristo ni mtihani sana
Sidhani aisee, ila kwanini wote wana magongo mapya ya kutembelea?Wote hawa wamelipwa?
View attachment 2387085
Kata ya Mwakibete [emoji28][emoji28][emoji28].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nabii anatokea mbeya ila wakristo ni mtihani sana
Faith healing..hakuna kuponywa kwa kujipangia kama unavyosema..haya Kristo baada ya kuwaponya aliwaambia imani yako imekuponya usitende.[emoji3][emoji3]mbona kama magongo ni mapya na yanafanana.
Kama kongamano linaendelea peleka kilema au kipofu unayemjua akipona mwamini
Utapeli gani wewe mhafidhina.?katapeli nini??Tofautisha injili na utapeli. Mbona injili inahubiriwa Sana huku mitaani.
Kwahiyo wewe kosa la mwamposa ni kurudia kuponya watu kutumia mafuta..pole sana acha uhafidhina naona ndio unao kusumbua.Tofautisha mafunuo na mafundisho. YESU alimponya kipofu kwa mafunuo, yani hakurudia Hilo Jambo Tena. Ila huyu Mwamposa kila siku anatumia mafuta.
Unaweza leta uthibitisho wa ulichokiandika hapa? Usiseme ni Imani.. imani ni sawa na imagination na illusion hata uchawi pia ni imani.Huyo Mwamposa kwa nini asiende Hospitali kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi (ICU) na kuponya vilema na viwete?...Huyo Mwamposa ni mfanya biashara wa ki imani tu.Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Wote hawa wamelipwa?
View attachment 2387085
Mbona watuonesha magongo tu?
Na ukitazama kwa makini ni kama magongo yote ni prototype ile ile, as if yametoka kwa seremala mmoja
Ugonjwa wa akili umekua kwa kasi sana hivi karibuniKama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Mkwe hebu acha ufukunyuku🤣🤣🤣
Muambie apite pale mloganzila, muhimbili amalizie na pale lugalo wakati anaelekea Tanganyika packers ndio kuna wagonjwa verified sio hao wa mchongo. Wapuuzi hawataisha ktk jamii
Mkuu picha ya mtu mmoja aliyepona na inayoonekana vizuri, sasa hapo unamwona nani zaidi ya hao migambo ambao pia sura zao hazionekani. Picha moja ambayo iko clear kabisa
Unaweza leta ushahidi wa mtu unayemfahamu kuwa alikuwa kiwete miaka yote lakini kwa sasa kaponywa?Kwahiyo wewe kosa la mwamposa ni kurudia kuponya watu kutumia mafuta..pole sana acha uhafidhina naona ndio unao kusumbua.
#MaendeleoHayanaChama
Ushahidi huo kwenye pichaUnaweza leta ushahidi wa mtu unayemfahamu kuwa alikuwa kiwete miaka yote lakini kwa sasa kaponywa?