Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Unataka facts...Huyo Mwamposa kama anafanya uponyaji kama ule wa Yesu kwa nini asipite katika Ma hospitali, wodini na kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi ICU aponye hao vilema unaowasema? Kwa nini anataka sifa kwamba yeye ni mponyaji wakati hawezi kuponya wagonjwa waliovunjika miguu kwa Ajali mifupa iungane na watembee?? Huyo Mwamposa ni tapeli na mfanya biashara wa dini? Narudia tena Mwamposa ni Tapeli kama matapeli wengine tu na wajinga ndio waliwaoYani utapeli kivipi? Taja fact