Naona umeanza matusi sasa baada ya utapeli wenu kugundulika, nyie ni matapeli uchwara kwani mnashindwa hata kujua mkatapeli wapi eti mnakuja JF, badala mwende hata huko Facebook ambako kuna wajinga wajinga eti mnalenga jf, kweli mko timamu nyie mkadhani mtatoboa? Kuna swali mmeulizwa mbona magonvo yote ni mapya na yanafanana?Wewe ambaye sio tapeli ulishawahi kumnunulia mlemavu hata gongo la kutembelea au ndio unafiki na wivu wa kike umekujaa.
#MaendeleoHayanaChama
😂😂😂😂😂😂😂😂