Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Kuhusu vilema kutembea sina ushahd ila mambo ya ardhi nina ushahidi kbs na wale waliofungwa kichawi kufunguliwa ushahid mi ninao...
Uliposema wachawi nikaelewa. Mbona waganga wapo na wanashughulika na uchawi.
 
Ndiyo maana mimi naomba picha ya mmoja tu aliyepona

20221014_175233.jpg
 
Fact ya kwanza, Magongo yote yanafanana na ni mapya.

Fact ya pili, waliobeba Magongo sio wahusika ni wahudumu. Ndio maana mtu mmoja amebeba Magongo mawili au matati.
Hayo yalikusanywa toka kwa vilema ndio mana wameshika wahudumu mkuu,huna fact
 
Huo mbona uganga wa kienyeji
Mimi nilikua simwamini ila sku moja kwa macho yangu nimeona jogoo anapupa na kufa baada ya kumwagiiwa maji ya bombani ambayo aliombea usiku. Alafu haijapita siku mbili nikaona tena kwa jirani kunguru alitua dukani kamwagiwa kafa na nilimtoa mwenyewe. Haya mambo bora tukae kimya tuu.
.
Huo mbona uganga wa kienyeji.
 
Mimi nilikua simwamini ila sku moja kwa macho yangu nimeona jogoo anapupa na kufa baada ya kumwagiiwa maji ya bombani ambayo aliombea usiku. Alafu haijapita siku mbili nikaona tena kwa jirani kunguru alitua dukani kamwagiwa kafa na nilimtoa mwenyewe. Haya mambo bora tukae kimya tuu.
Watasema umetumwa
 
toa hilo stica hapo kweny Screen au ni wale mnanunua vitu ili muuze tena.
JamiiForums-116386189.jpg
 
Acha ujinga inamaana hujui hata Kristo alisema mkiamini mnaweza tenda matendo makubwa zaidi..au unawekea mipaka miujiza..chochote kinaweza kutumia kupitishia mujiza..mafuta yalitumika kama upako..pia kirsto alisha mponya kipofu kwa kumpaka tope machoni pake na kumwambia akanawe kisha akaona.

Acheni uhafidhina.

#MaendeleoHayanaChama

Tofautisha mafunuo na mafundisho. YESU alimponya kipofu kwa mafunuo, yani hakurudia Hilo Jambo Tena. Ila huyu Mwamposa kila siku anatumia mafuta.
 
Back
Top Bottom