MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Kwa hao wote kuna unayemfaham in person alikuwa kilema na kapona??Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081