Naona umeanza matusi sasa baada ya utapeli wenu kugundulika, nyie ni matapeli uchwara kwani mnashindwa hata kujua mkatapeli wapi eti mnakuja JF, badala mwende hata huko Facebook ambako kuna wajinga wajinga eti mnalenga jf, kweli mko timamu nyie mkadhani mtatoboa? Kuna swali mmeulizwa mbona magonvo yote ni mapya na yanafanana?Wewe ambaye sio tapeli ulishawahi kumnunulia mlemavu hata gongo la kutembelea au ndio unafiki na wivu wa kike umekujaa.
#MaendeleoHayanaChama
Alafu mleta mada anadai eti huo ndiyo ushahidi wa hao viwete wakati ni wahudumuFact ya kwanza, Magongo yote yanafanana na ni mapya.
Fact ya pili, waliobeba Magongo sio wahusika ni wahudumu. Ndio maana mtu mmoja amebeba Magongo mawili au matati.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Serikali unatumia magharama wizara ya afya wakati Mwamposa yupo [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Vita ya kiuchumi na nchi ina Mwamposa - Imagine [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Fuatilia maisha ya hao walemavu walioponywa hapo, maisha yao kiasi cha wiki mbili kabla ya kuponywa. Utakuta walikuwa wanatembea vizuri na kulima bila mkongojo. Baada tu ya Tapeli kuingia mjini mara wote walemavu.
Utapeli gani?Naona umeanza matusi sasa baada ya utapeli wenu kugundulika, nyie ni matapeli uchwara kwani mnashindwa hata kujua mkatapeli wapi eti mnakuja JF, badala mwende hata huko Facebook ambako kuna wajinga wajinga eti mnalenga jf, kweli mko timamu nyie mkadhani mtatoboa? Kuna swali mmeulizwa mbona magonvo yote ni mapya na yanafanana?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Magongo yote ni mapya na ni ya mbao sampuli moja. Hata akili ya kuelewa hamna? Watu wametoa oda ya magongo kabisa[emoji2][emoji2]Wote hawa wamelipwa?
View attachment 2387085
Acha uongo wengine Wako hoi majumbani hawana hela za kujitibia😂😂😂ushapigwa na kalynda na huku utatapeliwa tena ...wagonjwa serious wako hospital
Kuna waumini wa Hovyo sana ndio maana bado tuna jembe la mkonoWakristu mna mambo kwa kweli sishangai kuona hata masanja wa feel free chachi na na bii titi wa kanisa la mpekenyuo kule kigamboni nao wanapata wafuasi tena wanamiminika kwelikweli
Acheni usanii!Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Namshauri aende WHO haraka kuripoti kuwa amepata dawa ya kuzuia ugonjwa wa polio maana virusi vyake vimeanza kurudi na kuathiri watoto.Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
Wewe hata neno lenyewe hulijui Kufanikowa kunatakiwa uamini Mungu na manabii wake sio kuamini Mungu tuchief achana na kuamini hawa waganga wa jadi waliochangamka umeanza kumuamini nabii badala ya kumuamini Mungu na neno lake. !!!!.
UNA MWAMINI MWANAPOSA AU MWENYEZI MUNGU!?Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Hayo yote bado hayatoshi. Kwa taarifa zaidi ni kwamba anao pia uwezo wa kufufua wafu kwa JINA LA YESU. Achana na walokole, sema tu Kanisa lao lilishavamiwa na mamluki wengi wamejibanza humo. MLOKOLE SIYO CHOMBO CHA KAWAIDA HAPA DUNIANI, NI MASHINE NYINGINE YA PEKEE NA YA AJABU MNO!Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081