Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
- Thread starter
-
- #661
Mkuu unakufuruWe jamaa ni mjinga sana tena sana. HAo "vilema fake" na magongo yao mapya hata hamsini hawafiki inashindikana vipi kuwalipa ?
sipingi uwezo wa Mungu, Mungu yupo na anayaweza yote katika Kristo. Lakini hapo kwa Mwamposa ni utapeli tu NA WAJINGA KAMA WEWE NDIO MNASHINDWA KUBAINI.
Mbona watuonesha magongo tu?
Na ukitazama kwa makini ni kama magongo yote ni prototype ile ile, as if yametoka kwa seremala mmojaXA
Wagonjwa ndio walimfuata yesu mfano yule kipofu na kiwete kwenye maandikoUngemshauri atembelee hospital. Aponeshe wagonjwa aipunguzie serekali mzigo
Huko mtaani umeshawahi kukutana na mtu anatembea na alikuwa kiwete, ameponywa na mwamposa?Wagonjwa ndio walimfuata yesu mfano yule kipofu na kiwete kwenye maandiko
Kuna ndugu yako au hata jjrani tu unayemfahamu aliyepona hapo?Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Unadanganywa na idadi ya magongo?? Wamepangwa hao, believe me!?Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Unaelewa maana ya faith healing au unajitoa akili?Ungemshauri atembelee hospital. Aponeshe wagonjwa aipunguzie serekali mzigo
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". Mtaendelea kuibiwa kwa ujinga wenu. Wajanja wanapiga mpunga tu.Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .
Mkuu how can you act for more than 100 people? How much money you will pay them?Unadanganywa na idadi ya magongo?? Wamepangwa hao, believe me!?
Hayo mambo ni really mkuuKuna ndugu yako au hata jjrani tu unayemfahamu aliyepona hapo?
... KWAKWELI!Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hayo maigizo yenu.
yaani uwe kilema (mlemavu wa viungo), halafu from nowhere, utembee kwa sababu ya kuombewa na Mwamposa!!
Magongo yenyewe karibia yote yanaonekana kuwa ni mapya! Hakika hii nchi ina wajinga wengi kweli kweli. Wacha tu ccm iendlee kunufaika kupitia huu ujinga wa Watanzania walio wengi.
Hayo magongo alinunua kwa bei ya jumla yote yanafananaaWote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Haupo sahihi, angalia television ya rise and shine.Hayo magongo alinunua kwa bei ya jumla yote yanafananaa
Namuamni mwamposa kama mtumishi. Wa mungu.Kweli wewe mjinga ety unamwamin mwamposa mjinga sana wewe
Haupo sahihi, angalia television ya rise and shine.... KWAKWELI!
Kama hata members wa JF bado wanaamini haya MAZINGAOMBWE YA NURSERY, acha tu mkoloni mweusi aendelee mpaka hapo tutakapoamka!
😅
Nashauri Mwamposa apelekwe MOIKama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Inabidi Wagonjwa wamfate mwamposa.Nashauri Mwamposa apelekwe MOI