Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Wewe ni mlemavu WA ubongo lakini hujaponywa,tangu lini kiwete anatumia magongo,matepeli WA makanisani wanaandaa script na kugawa magongo na kuyakusanya,
 

Attachments

  • 20221014_175248.jpg
    20221014_175248.jpg
    523.6 KB · Views: 22
Magongo yote ni aina moja aiseee.hizi cimena nilidhani mwisho bongo movie lakin hadi huku.lakini yote haya yataisha kama yalivyoisha ya askofu kakobe na lusekelo ,wao walikuwa hivi hivi ila sasa hivi wanatumia pension zao.
.
Yana mwisho wake haya ndugu zangu.
Acha kutokuamini,
 
Walipwe watu 200?
Wewe akili huna mbona ni hesabu ndogo tu???na kwanini 200 wasiwe watu 192 au 207 huoni hapo anacheza na hesabu zake?

Kama alilipa watu 200 kila mmoja Tsh 5,000/= maana huko bado mna njaa inamaanisha alitumia 1mill sasa ninyi mbuzi mnaokaa kushabikia kuabudu watu kama mlikuwa umati kama ulivyojinadi hapo mkawa 800 alipomaliza kuwapanga mkatembezewa basin mtoe sadaka na kwa sababu mlishajaa muhemko wengine mkatoa tuseme kima cha chini Tsh 10,000/= wote mtakuwa mmemuachia Tsh 8,000,000/= nihesabu nyepesi tu,capital yeke ni 1,000,000/= kwa haraka haraka profit yake ni 7,000,000/=

NB;Nimesema hiyo Tsh 10,000/= ni kima cha chini wapo wanaotoa zaidi ya hiyo huoni kama ameshondoka na faida hapo?
 
Wewe akili huna mbona ni hesabu ndogo tu???

Kama alilipa watu 200 kila mmoja Tsh 5,000/= maana huko bado mna njaa inamaanisha alitumia 1mill sasa ninyi mbuzi mnaokaa kushabikia kuabudu watu kama mlikuwa umati kama ulivyojinadi hapo mkawa 800 alipomaliza kuwapanga mkatembezewa basin mtoe sadaka na kwa sababu mlishajaa muhemko wengine mkatoa tuseme kima cha chini Tsh 10,000/= wote mtakuwa mmemuachia Tsh 8,000,000/=

NB;Nimesema hiyo ni kimo cha chini wapo wanaotoa zaidi ya hiyo huoni kama ameshondoka na faida hapo?
Fungua akili
 
Africa Africa hili bara watu wake ni tatizo sana..kama akili hizi zinaamini kiwete anaweza kupona na kutembea kwa maneno matupu!! kazi ipo .

Namuunga mkono kagame kwa kudhibiti dini nchini kwake, ni upuuzi tu.

Hizi Dini mtumba ni kichaka kikubwa sana kinachoficha uhuni na ndio chanzo kikubwa cha umaskini ktk jamii zetu
 
Kwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
Mkuu nifundishe hayo maujanja nipige hela.
 
Kwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
tena ushuhuda wa hivi nina ushahidi kabisaaaa kuna madogo walikuwa wanachukuliwa ferry bondeni wanaenda kutoa ushuhuda kanisa moja liko maweni kigamboni wakirudi wanapigana kwenye mgao wa hela ila nilikaa na mmoja akanichana wanachukuliwa asubuhi wanaenda wanapewa chai na chakula cha mchana aaf jioni wanapelekwa kanisani wakiwa wameshavalishwa kimaigizo alaf wanatoa ushuhuda wakimaliza wanagaiwa mpunga wao wanaenda kugawana hapo ndo ngumi zinaanza wanapozulumiana
 
Back
Top Bottom