Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Mimi nipo Songea , pana siri kubwa usiyoijua . Hongera kwa kumwamini na kumtumikia rasmi mnyama atokeaye nchi kavu . Atawapoteza wengi kwa ishara na
Miujiza . Yamkini hata wataule
Hujaeleweka mkuu
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Hao walioponywa, kuna uliyekuwa unamfahamu kabla kwamba alikuwa kiwete..!?
 
Nchi hii wajinga na wapumbav ni asilimia 90 ,unafikiri Una nchi hapo au misukule ? , yaani hivyo vichwa vilivyopo hapo na michango wanayotoa inajenga kiwanda kabisa ,yaani makanisa ya kipumbav na kitapeli yanaingiza pesa kuliko viwanda
Unavyojifanya unahuruma na hao watu utadhani walishakuja kwako kuomba hata mia..kaa kutulia.

#MaendeleoHayanaChama
 
nani amekuambia ni nabii wa Mungu?!. hizi ni sababu chache ambazo nina dhibitisha bila dhahiri yeye si nabii wa mungu
1.nionyeshe sehemu ya biblia ambayo mafuta yanatumika kuponya badala ya nguvu za Roho mtakatifu?
2. anajipa yeye utukufu badala kumrudishia Mungu utukufu anapoponya hakuna binadamu yeyote mwny uwezo wa kuponya bali nguvu za Mungu utumika kumponya mtu
3. ukitaka ujionee kama anatumika na Mungu au lah fwatilia kwny matangazo yake na mikutano n.k hakuna sehemu anapopewa utukufu yesu kupitia nguvu za Roho mtakatifu la zaidi utaona mtu anajisifu mpk kujiita buldoza wakt buldoza pekee ni Yesu. binadamu hana uwezo wa kumponya yeyote bali mtumishi hutumika kama chombo tu

ijue kweli nayo itakuweka huru
Acha ujinga inamaana hujui hata Kristo alisema mkiamini mnaweza tenda matendo makubwa zaidi..au unawekea mipaka miujiza..chochote kinaweza kutumia kupitishia mujiza..mafuta yalitumika kama upako..pia kirsto alisha mponya kipofu kwa kumpaka tope machoni pake na kumwambia akanawe kisha akaona.

Acheni uhafidhina.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nchi hii wajinga na wapumbav ni asilimia 90 ,unafikiri Una nchi hapo au misukule ? , yaani hivyo vichwa vilivyopo hapo na michango wanayotoa inajenga kiwanda kabisa ,yaani makanisa ya kipumbav na kitapeli yanaingiza pesa kuliko viwanda
Na ndio maana maccm Kila siku yanashinda kwa kishindo misukule ipo mingi sana
 
Iviii wewe mtoa mada akili yako fyatuuuu,,,,

Kusoma hujui hata picha uoni.... Inamaana uko uliko uko hao walemavu wako wa aina moja tu.... kwa nilivyo kategemea nilitegemea kuwaona walemavu wa aina tofauti tofauti mfano mlemavu wa akili,Macho,mikoni,miguu nk.....

Sasa hapo wewe ukiangalia kwa haraka-haraka ujiulizi k2....

Walemavu wote wa aina moja...


wewa si-bure kichwani hazimo na tena ninawasiwasi na wewe naisi UNATUMIA KICHWA CHA CHINI KUFIKIRIA BADALA YA_______________.....!!!!
 
Back
Top Bottom