Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Basi kumbe mwamposa ni mtu sahihi
Fanya usome kitabu chake japo kina makosa mengi ya kiuandishi angalia ujumbe.

Mungu ndiye huponya kupitia imani yako na sio Mwamposa. Anachofanya Mwamposa ni kuamsha imani na hakika ukiamini hata bila kwenda kwa Mwamposa umepona. Sasa wengi wanaishi kwa misisimko na miujiza ya maigizo ili wapate imani kuwa wanaponywa. Mfano ili uamini kuna uponywaji hapa naweza weka wasanii wawili hivi wakatupa magongo kuamsha imani yako na kwa vile unaamini sasa nikikuombea umepona na hakika unapona.

Soma Biblia na mtumainie Mungu hautajuta. Fuata kile tulichofundishwa na Mwalimu Yesu kristo kama mfano wa kukokotoa kila changamoto..
 
Mimi nilikua simwamini ila sku moja kwa macho yangu nimeona jogoo anapupa na kufa baada ya kumwagiiwa maji ya bombani ambayo aliombea usiku. Alafu haijapita siku mbili nikaona tena kwa jirani kunguru alitua dukani kamwagiwa kafa na nilimtoa mwenyewe. Haya mambo bora tukae kimya tuu.
Sasa huo ni uchawi na mazingaombwe, mbona watu wanafanya Sana, Angalia hata azam one, kuna kipindi cha kuonyesha mauzauza kama hayo nao wakiamua kuanzisha kanisa watawavuna Sana watu mamburula kama wewe
 
Kwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
Huwezi kuamini
 
Back
Top Bottom