4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
yesu ulimuona ?Hata yesu kuna watu hawakumuamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yesu ulimuona ?Hata yesu kuna watu hawakumuamini
hata wangekuawa vilema 100 akiwapa 20k kila mmoja ni bei gani alaf angalia sadaka anayovuta kiunoni anashindwa kubeti akawapata watu kama nyieWote hawa wamelipwa?
Ingekuwa poa hii huduma ikapelekwa MwaiselaKama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Acheni usanii wenu, si aende MOI pale watu wanaumwa kweli kweli sio hao wa mchongoKama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Una tubu kwa nani sasa?Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Unafact gani kusema yule ni tapeli?Ha ha haaa, mburura hawatakuja kuisha. Mtaji wa fake pastors ni mburura kama hizi
Gwaji angemrudisha mama yake pamoja na yule mzee hahaKwanini asiende CCBRT ama MOI kuponyesha watu. Watanzania ni wajinga sana. Hongera Kagame
Halafu walivyo wapumbavu wanaoona ni kweliukiangalia vizur hayo magongo yote ni mapya hvi ni bahati gani waje awalemavubzaidi ya 50 na wote magongo ni mapya hamjajuabtu kwamba kinachochezwa hapo ni kamari
Afu yanaoneka hata hayajatumika muda mrefuMbona watuonesha magongo tu?
Na ukitazama kwa makini ni kama magongo yote ni prototype ile ile, as if yametoka kwa seremala mmoja
N kilema yupi uliyekuwa unamfahamu amepona baada ya hayo maombi.?Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .