Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iviii wewe mtoa mada akili yako fyatuuuu,,,,
Kusoma hujui hata picha uoni.... Inamaana uko uliko uko hao walemavu wako wa aina moja tu.... kwa nilivyo kategemea nilitegemea kuwaona walemavu wa aina tofauti tofauti mfano mlemavu wa akili,Macho,mikoni,miguu nk.....
Sasa hapo wewe ukiangalia kwa haraka-haraka ujiulizi k2....
Walemavu wote wa aina moja...
wewa si-bure kichwani hazimo na tena ninawasiwasi na wewe naisi UNATUMIA KICHWA CHA CHINI KUFIKIRIA BADALA YA_______________.....!!!!
Hauna imaniKuna jirani yetu hapa ni kiwete kapelekwa kwa mwamposa,akirudi anatembea basi nitatembea kwa magoti mbinga to Dar kumfuata mwamposa
Totally scam kama kalynda tu.Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Lete ndugu Yako au mtu unaemjua ambae alkuwa kilema na amepona
Mkwe hebu acha ufukunyuku🤣🤣🤣Mbona watuonesha magongo tu?
Na ukitazama kwa makini ni kama magongo yote ni prototype ile ile, as if yametoka kwa seremala mmoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mmama kiwete kaenda akirudi anatembea nitajaleta mrejesho hapa[emoji16]Alafu magngo mapya kabisa
Yaani maelfu yote wasigundue utapeli ww ndio ugundue?Yani utapeli kivipi,toa fact
Hizi mimi naita mbuzi!Ha ha haaa, mburura hawatakuja kuisha. Mtaji wa fake pastors ni mburura kama hizi
Majinga yanaendelea kupigwa sana tu.Unadhani hata ukienda Songea utawaona hao walioponywa? Huwa nashangaa watu kwa nini wanapigwa kirahisi namna hii.
Vijana wa mwamposa wamevamia jukwaa.Tangu lin umemkataa mpaka leo uanze kumkubalii